Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January

Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January

Zanzibar ni sehem nyengine babaa badilikeni zanzibar tuna sheria zetu na taratibu zetu maiforce tanganyika iwe kama zanzibar
Hatujawahi ilazimisha zanzbar ilingane na tanganyika ila kwa udogo wake tunaforce iwe kama mkoa tu
 
Zanzibar nayo ni nchi? Pia nauliza serikali ya Tanzania haina dini(tanganyika+zanzibar=tanzania)
Ili iwe nchi Inatakiwa iweje
Zanzibar ina
Ardhi
Watu (citizens)
Baraza la mawaziri
Bunge-Baraza la wawakilishi
Mipaka ya kijiografia
Mahakama
Bendera ya Taifa
Wimbo wa Taifa

Huku Tanganyika
Hakuna
Bunge
Rais
Baraza la mawaziri
 
Sasa wewe takwimu za 1958 unazileta 2021 wewe ni mzima kweli? Kulikuwa na idadi gani ya watu! Wakati hata barabara hazikuwepo kuwafikia watu wa kamsamba huko , huenda hata mzazi wako hakuwa amezaliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nadharia ya Malthus,population ina-double kila baada ya 25 yrs,so haiwezekani waislam wawe wamepungua leo 2021,Kama unadhani 1958 ni mbali Sana na hapakua na barabara,pole,Ila TANU imeundwa 1954 na harakati za Uhuru zilikua nchi nzima
 
Kuna siku lazima Tanganyika ijitegemee tu, Wazanzibar bara wamejaa sehemu zote na hatuna ubaguzi wowote kwa sababu tunaona ni waTanzania wote!

Inakuwaje Raisi wa Tanzania anatoka sehemu zote lakini wa Zanzibar anatoka Zanzibar tu?

Makamu vile vile na mawaziri pia.
Nini manufaa ya haya?
Watu 58ml wanataka usawa na watu 1.4ml?

Hawa watu wametuvaa sawa sawa, huko tuendako lazima kila mmoja abebe fito zake.
Kweli mkuu Zanzibar hawafiki hata milion mbili wanataka kututawala watanganyika mil59 hili inabid watanganyika tulielewe
 
Ndio matatizo ya non-secularism haya!
Mkristo anayeishi Zanzibar hana nafasi ya kuchagua kumpeleka mtoto wake shule atakyojifunza Elimu ya Kikristo?
Kuna haja ya kupatikana Raisi 'chizi' wa Tanganyika atakayewafukuza Wazanzibar wote walio Tanganyika ili tuanze upya.
 
Zanzibar ni sehem nyengine babaa badilikeni zanzibar tuna sheria zetu na taratibu zetu maiforce tanganyika iwe kama zanzibar
mnajifanya wanadini wakati waitalia wanawapelekea moto watoto wenu wa kiume, madawa ya kulevya yamejaa
 
Wazanzibar ni wabaguzi sana Niko nao huku yaan ni very uncivilized sijui wanajionaga kina nani aisee? Rais wa nchi kusimama mbele ya hadhara eti mm ni mzanzibar!! shame!! Mbona huongozi nchi ukiwa huko zenji kutwa upo bara.
 
Mihemuko ipi kulaziy shule ya Kikristo ichukue waislamu na ifundishe Dini ya kiislamu na kiarabu kwa lazima na irihusu waswali swala Tano? Si waende shule za kiislamu mbona ziko kibao Zanzibar huo ni upnezi wa minority wakristo walioko Zanzibar Wa waziwazi kabisa
otaka watoto wao wasome kiislamu na kiarabu na wapige swala Tano waende shule zao za kiislamu.Hawalazimishwi kupeleka hapo
Hawa jamaa ni wajinga sana. yaani ni sawa na shule ina taasusi ya PCM halafu mzazi anampeleka mtoto na kulazimisha afundishwe HGL, na srikali inamuunga mkono mzazi!
 
Eti unaifungia shule kwa sababu haifundishi kurani na kiarabu! Ujinga mtupu
 
Back
Top Bottom