Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January

Ni obvious Tz Batra Waislamu ni wengi Mikao mitatu tu Kati ya 26. Tanga, DSM, na Lindi.

Pia Mikao minne ni 50/50. Mtwara, Morogoro, Dodoma, Tabora,

Mikoa mingine 20 ni 80-90% Wakristo.
Sensa hii ukifanya lini?..tabora,tanga,pwani,dar,Lindi,mtwara,ruvuma,Zanzibar yote no waislam so chini ya 75%..mbeya,Arusha wakiristo wengi,Kilimanjaro,iringa,dodoma,kigoma,morogoro Kuna waislam wengi tu,wasukuma zaidi ya 80% wapagani
 
Haha Tabora?
Waislamu ni wengi Tabora mjini, walaya zake Waislamu ni 40%
Tanga Wilaya za Korongwe na Lushoto ni dorminat Christian. Muheza ni nusu nusu. Islmam ni mjini na pangani. Almost Waislamu wanaweza kuzidi wakrito Tanga ila siyo sana. Tanga ni kama Lindi, DSM na Lindi hata Mtwara.

Okay ila mikoa kama 20 Kati ya 26 ya bara Wakristo ni wengi sana.

Zanzibar Waslamu ni 98%. Ila Zanzibar ni infantility. Leo inazidiwa na Mkoa wa Mara kwa Watu. Sehemu yenye Historia ya miaka 2000 inazidiwa na idadi ya watu na eneo lililokua pori miaka 300 iliyopita.
 
Kwa hiyo dsm wakiristo na waislam ni 50/50!!?..kuhusu tanga si kweli,na hata tabora,zenji ppltn yake ni ya mkoa mzima bara
 
Kwa hiyo dsm wakiristo na waislam ni 50/50!!?..kuhusu tanga si kweli,na hata tabora,zenji ppltn yake ni ya mkoa mzima bara
Kwa maoni yangu DSM, Tanga, ni Waislamu by 60.

Lindi Waislamu 70%.
Tabora 50
Mtwara 50
Pwani 70

Moro 50
Dom 40
Ruvuma 40
Kigoma 30
Kagera 30
Geita 05
Mara 20
MWANZA 20
Shinyanga 30
Simiyu 10
Singida 30
Manyara 20
Arusha 10
Kilimanjaro 20
Mbeya 10
Rukwa 10
Katavi 10
Dom 40
Iringa 20
Njombe 10

Hizo ni % ninazo wapa Waislamu katika Mikao. Ya Tz

Note siyo takwimu Rasmi. Ni maoni yangu binafsi
 
Maoni yako!!!?..singida ni ya waislam,serikali ikiwa na Jambo la kukutana na wananchi singida,hawalipangi ijumaa,singida ni wanyaturu,wanyiramba,wanyaturu,wanyiramba wapo iramba,wachache,wataturu ni wapagani,kwa dar na tanga,uko mbali Sana..ni zaidi ya 70,takwimu za mkoloni haziongopi
 
Hah Wanayaturu ndiyo Waislamu. Wanyiramba. Ni Wakristo by 80%. Pia Wanayaturu Waislamu ni Singida mjini Ikungi, Makiyungu huko ni Wakristo sana.
 
Hah Wanayaturu ndiyo Waislamu. Wanyiramba. Ni Wakristo by 80%. Pia Wanayaturu Waislamu ni Singida mjini Ikungi, Makiyungu huko ni Wakristo sana.
We jamaa bna,maaskofu 2012 walimpinga ponda kutaka waislam wasihesabiwe mpaka pawekewe column ya dini kwenye sensa,maaskofu walitoka shimoni kupinga,wakati huo kwenye kalenda ya ofisi wa Waziri mkuu wametoka takwimu ati waislam 30%
 
kikwete na makamba wamesoma seminary na walikua wanasali
 
We jamaa bna,maaskofu 2012 walimpinga ponda kutaka waislam wasihesabiwe mpaka pawekewe column ya dini kwenye sensa,maaskofu walitoka shimoni kupinga,wakati huo kwenye kalenda ya ofisi wa Waziri mkuu wametoka takwimu ati waislam 30%
Udini siyo mzuri. Ila nakuambia Tz Waslamu hawafiki 35%.
Ukitaka kuamini soma matokeo ya darasa la Saba mikoa mbali

Mafano hiyo shule ya Sikonge Tabora. 60 wahutimu 7std wanamajina ya Kikristo. Huwezi kujenga hoja eti Tabora ni dominant IslamView attachment 2064275
 
Tatizo tunashindwa kuelewa Zanzibar ni nchi na INA sheria zake japokuwa ipo katika muungano na Tanganyika, hivyo sheria zake muda mwingine zinawezakuwa tofauti na za Tanganyika kikubwa kutambua na kuheshim kwa maana nchi bila sheria ni jalala.
zanzibar ni mkoa sio nchi bwana your just being fooled
 
Hu muungano ni kichekesho.
 
Shule moja,sikonge..nipo tabora tangu 1986,si waweke kioengele Cha dini mwakani kwenye sensa ubishi uishe
 
Nyie sepeni tu, tuwang'ang'NIE mnakipi cha kuoffer
Mi mwenyewe huwa nashangaa mnavyotung'ang'ania. Mliwafunga watu miaka mingi bila ushahidi 😀 kisa tu wanasema zanzibar kwanza. Wazanzibar walikwisha ukataa huu Muungano kitambo tu tena kwa kusema wazi wazi kwenye majukwaa, nyie mmefanya nini zaidi ya kuwa Keyboard warriors 😀
 
Watanganyika ni wapuuzi na wajinga, kwanini musivunje Muungano.
Kazi yenu kulalamika tu, eti watu milioni sitini mnatawaliwa na watu milioni moja. Watanganyika ni ma primitive.
 
Katafute basha akupakue.
Zanzibar ina sheria zake.
Wazanzibari sio washenzi kama nyie.
Ujue kwamba Wazanzibari majority ni Muslims.
Utoke huko na misalaba yako ukafungue school Zanzibar, utasoma mwenyewe.
Pumbafffff
 
Agape zenji tena ....

Mnafanya nini huko[emoji23][emoji23][emoji23]

Ova
Bora ulivyowauliza. Majority Wazanzibari ni Muslims. Agape walikwenda kufanya nini!!!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…