Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January

Kwahyo bora mrudi kutawaliwa na waarabu??
Nikitaka uone kuwa Muungano ndio chanzo cha kuanguka kwa zanzibar
Kwa sasa zanzibar inatawaliwa na Tanganyika, kama ilipata maendeleo wakati wa sultanate ni bora kuliko kutawaliwa na Tanganyika bila ya maendeleo.
Halafu ujue.....waarabu hawakutawala zanzibar, zanzibar ilikuwa chini ya waingereza.
 
Huko Zanzibar hakunaga watu serious. Wapowapo wanapumua siku ziende. To them, petty issues matter a lot.

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
That's what Islam does to the head of a human.. honestly, psychologists need to research this...Islam should be registered as a mental disease that eats the brain,,, far worse than rabies to a dog
 
Waingereza waliichukua Zanzibar juzi tu lakini ilikuwa chini ya waarabu.
Kama walivyoichukua Tanganyika chini ya wajerumani.
Zenji hamtaki kujitegemea ndomaana mnataka muachane na muungano mtawaliwe na waarabu
Ni sawa na Tanganyika itake kutawaliwa na wajeruman kwasababu walileta maendeleo kuliko CCM
 
Kuna binti alienda huko magharibi mwa Tanzania toka huko zenj kusoma nursing kufika hapo anaanza kuleta sheria zake, mara gauni lakuburuta marahijabu yakufanyaje, akaambiwa vyuo vipo vingi umevuka maji mpaka huku kufuata masomo hivyo fuata kilicho kuleta uniform ni hizi basi, ukimaliza utaendelea navyo sie sheria zetu ni hizi akatulia, baadaye alianza kupiga umini mpaka wenyeji wakaanza kumshangaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna kitu kama hiko...kila kitu hapo zenji kimejengwa na waarabu kwa kuwatumia watumwa (Wazanzibar) na tena walikuwa wanawaita washenzi (Jina la mtumwa mzanzibari)
Hao waarabu waliozaliwa hapo na wamekuwa hapo kwa karne wahawakuwa wazanzibari?
 
Shule ya binafsi
Shule binafsi mnalazimisha ifundishe dini kwani hiyo ni madrasa? Shule imejiwekea utaratibu wake ukiona mwanao anapaswa kusoma kiarabu na dini yako peleka huko wanakofundisha hayo.
Bara tuna shule za kiislam, kikristu na za wa sabato kabla mwanao ajajiunga na shule unaelezwa mashariti ya shule, ukiona mwanao anaweza kuyafuata peleka hawezi tafuta kwingine.
Huo ni mwendelezo wa chokochoko za uzanzibari na ubara.
 
Kumbe serikali ya mapinduzi Znz inaendesha ubaguzi wa kidini!!!
Kuna umuhimu gani wa kufunga shule ya kikristo huko wakati kuna shule nyingi za kiislamu?!!!

Mfano, Tanganyika kuna shule nyingi tu zinaitwa:
"...Islamic School/Seminary" huwezi kwenda kuwalazimisha wafundishe mambo ya Kikristo au Hindu, nk, yasiyoendana na imani yao!
 
Hivi ukivaa hijabu ndio inakuaje? Wengi wanafunzi wanaofeli ni wavaa hijabu
 
Nyinyi watanganyika hemu acheni tabia zenu za kibishi bishi mnavokuja kuweleza huku visiwani. Zanzibar tuna ustaarabu wetu kwaio mkija huku muwe mnakuja na adabu zenu
Bailezee.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…