Muwekezaji kutoka Tanzania bara apigwa stop kuanzia January

Zanzibar ni sehem nyengine babaa badilikeni zanzibar tuna sheria zetu na taratibu zetu maiforce tanganyika iwe kama zanzibar
Hatujawahi ilazimisha zanzbar ilingane na tanganyika ila kwa udogo wake tunaforce iwe kama mkoa tu
 
Zanzibar nayo ni nchi? Pia nauliza serikali ya Tanzania haina dini(tanganyika+zanzibar=tanzania)
Ili iwe nchi Inatakiwa iweje
Zanzibar ina
Ardhi
Watu (citizens)
Baraza la mawaziri
Bunge-Baraza la wawakilishi
Mipaka ya kijiografia
Mahakama
Bendera ya Taifa
Wimbo wa Taifa

Huku Tanganyika
Hakuna
Bunge
Rais
Baraza la mawaziri
 
Nani Rais wa Tanganyika
Bunge la Tanganyika lipo?
 
Sasa wewe takwimu za 1958 unazileta 2021 wewe ni mzima kweli? Kulikuwa na idadi gani ya watu! Wakati hata barabara hazikuwepo kuwafikia watu wa kamsamba huko , huenda hata mzazi wako hakuwa amezaliwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa nadharia ya Malthus,population ina-double kila baada ya 25 yrs,so haiwezekani waislam wawe wamepungua leo 2021,Kama unadhani 1958 ni mbali Sana na hapakua na barabara,pole,Ila TANU imeundwa 1954 na harakati za Uhuru zilikua nchi nzima
 
Kweli mkuu Zanzibar hawafiki hata milion mbili wanataka kututawala watanganyika mil59 hili inabid watanganyika tulielewe
 
Ndio matatizo ya non-secularism haya!
Mkristo anayeishi Zanzibar hana nafasi ya kuchagua kumpeleka mtoto wake shule atakyojifunza Elimu ya Kikristo?
Kuna haja ya kupatikana Raisi 'chizi' wa Tanganyika atakayewafukuza Wazanzibar wote walio Tanganyika ili tuanze upya.
 
Zanzibar ni sehem nyengine babaa badilikeni zanzibar tuna sheria zetu na taratibu zetu maiforce tanganyika iwe kama zanzibar
mnajifanya wanadini wakati waitalia wanawapelekea moto watoto wenu wa kiume, madawa ya kulevya yamejaa
 
Wazanzibar ni wabaguzi sana Niko nao huku yaan ni very uncivilized sijui wanajionaga kina nani aisee? Rais wa nchi kusimama mbele ya hadhara eti mm ni mzanzibar!! shame!! Mbona huongozi nchi ukiwa huko zenji kutwa upo bara.
 
Hawa jamaa ni wajinga sana. yaani ni sawa na shule ina taasusi ya PCM halafu mzazi anampeleka mtoto na kulazimisha afundishwe HGL, na srikali inamuunga mkono mzazi!
 
Eti unaifungia shule kwa sababu haifundishi kurani na kiarabu! Ujinga mtupu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…