Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #61
Na upo katika chati kwelikweli mkuu, bila shaka ni Afrika nzima kama sijakosea...Wakongo ni watu wa starehe sana kwa hulka yao. Kutokana na hali hiyo wakawa wabunifu sana katika utunzi wa nyimbo za muziki na uimbaji. Lakini Siasa kali za Mobutu (udikteta) uliwafanya wakongo watafute njia za kujiliwaza kwa kukimbilia kwenye muziki na hivyo mziki wao ukapanda sana chati.
Sisi tunazo singeli mkuu ndio mziki wetu...Jamaa wana mziki wao miaka yote sio huku kwetu hatueleweki tunaimba Mara tucopy kwa wanaija ..
Mara "I go die for u" ngongingo"
Congo wapo vyema,Waliwezaje kuwa "the best"? Ipi ni siri ya mafanikio yao?
Hakika wapo vizuri sana. Wana sauti nzuri na wanajua pia kutumia vyombo...Congo wapo vyema,
Music ni part ya uchumi wao, baba anajiandaa asb anapiga powder na kitoko anaenda club kucheza music anafanya music na kupata lots mbongo mama au mwanamuke yeye anaenda shamba na kufanya shughuli mbalimbali za uchumi kwa kiwango chake
Zamani wakati sijaacha kunywa beer nilikuwa ninapenda sana mziki wa Kongo live pale BananaJamaa wana mziki wao miaka yote sio huku kwetu hatueleweki tunaimba Mara tucopy kwa wanaija ..
Mara "I go die for u" ngongingo"
Jamaa waliamua kubaki na ladha yao mpka sasa..
Muziki wao unapendwa sana huwa wanaimba live
Nn shida mpka ukaacha bia mkuu?Zamani wakati sijaacha kunywa beer nilikuwa ninapenda sana mziki wa Kongo live pale Banana
Sasa hivi majukumu yameongezeka zaidi mkuuNn shida mpka ukaacha bia mkuu?
Rudi kunywa plz
Peps kale na Pappy Tex-Ibetibi!!! Ngoma kali sanaaa
Chanzo/siri ya mafanikio ni nini?
Mkuu, huu sio ujasusi wa kimuziki/kiutamadni?...kwa wakati ule muziki wa Congo ulisambaa kwa sababu mbalimbali moja wapo ikiwa ni ufadhili waliopewa wasanii na serikali yani serikali ilitowa pesa kwa band kubwa huko zaire kama vile TP ok jazz na Afrisa International
Kwanini alimuweka ndani uyo mzee wagitaa.Nyimbo zake kadhaa ninazipenda sana aisee. Aliwahi kukosana na dikteta Mobutu
Through music, Franco was very critic to Mobutu and his tyrant regimeKwanini alimuweka ndani uyo mzee wagitaa.
alitaka Urais,kutokana na umaarufu wake wa muziki ama?
Ninapenda sana nyimbo za Pepe Kalle na Empire Bakubakuna moja kaimba nymboma inaitwa Nina ,ni kali sana mkuu
It means they start doing it at a younger age ndio maana wanakuwa "the best". Samaki mkunje angali m-bichiCongo wapo vyema,
Music ni part ya uchumi wao, baba anajiandaa asb anapiga powder na kitoko anaenda club kucheza music anafanya music na kupata lots mbongo mama au mwanamuke yeye anaenda shamba na kufanya shughuli mbalimbali za uchumi kwa kiwango chake so toka utotoni mutu anajifunza music ili kuja kuwa mtu Fulani baadae eg utamuhimiza mtoto soma kwa bidii uwe daktari, pilot etc na uzuri music zinafundishwa at colleges &Univ....
Some fews I have
Hapo kwenye kutumia lugha ya Lingala hakika umenikosha mkuu. Hata kama haujui maana yake nafsi inafurahi kusikia mtu anaimba kwa sauti matata kama ya Pepe Kallekwa wakati ule muziki wa Congo ulisambaa kwa sababu mbalimbali moja wapo ikiwa ni ufadhili waliopewa wasanii na serikali yani serikali ilitowa pesa kwa band kubwa huko zaire kama vile TP ok jazz na Afrisa International
pia kwa mujibu wa Franco luambo katika moja ya interview zake alitaja mauzo ya kazi zake yanatokana na ubunifu na kujituma aliongeza kwa kusema watu wanataka kitu cha tofauti hivo kila siku inambidi atunge nyimbo nzuri
sababu nyingine ni lugha ya lingala ambayo wasanii wa Zaire hutumia, yani inavutia hata kama huelewi kitu
Hizi ndio zinaitwa akili za kuzaliwa. They're inherently genius...KIASILI mtu mweusi ni msanii "artist".
Mfano mzuri ww nenda kijijini kwenu uone. Mtu mweusi anacheza (muziki na michezo mingine kibao tu), anaimba (hata bila kutumia kifaa chochote), anachekesha, anasuka, anafuma, anaigiza n.k hata kama hajasomea vitu hivo.
Waliwezaje kuwa bora kuzidi nchi zingine 7 za jirani?...Ubora wake