Muziki kutoka nchini Zaire (sasa ni D.R.C) uliwezaje kutamalaki na kupendwa sana hapa Tanzania ilhali tumepakana na jirani wengine takribani 6?

Wakongo ni watu wa starehe sana kwa hulka yao. Kutokana na hali hiyo wakawa wabunifu sana katika utunzi wa nyimbo za muziki na uimbaji. Lakini Siasa kali za Mobutu (udikteta) uliwafanya wakongo watafute njia za kujiliwaza kwa kukimbilia kwenye muziki na hivyo mziki wao ukapanda sana chati.
Na upo katika chati kwelikweli mkuu, bila shaka ni Afrika nzima kama sijakosea...
 
Jamaa wana mziki wao miaka yote sio huku kwetu hatueleweki tunaimba Mara tucopy kwa wanaija ..
Mara "I go die for u" ngongingo"

Jamaa waliamua kubaki na ladha yao mpka sasa..
Muziki wao unapendwa sana huwa wanaimba live
 
Waliwezaje kuwa "the best"? Ipi ni siri ya mafanikio yao?
Congo wapo vyema,
Music ni part ya uchumi wao, baba anajiandaa asb anapiga powder na kitoko anaenda club kucheza music anafanya music na kupata lots mbongo mama au mwanamuke yeye anaenda shamba na kufanya shughuli mbalimbali za uchumi kwa kiwango chake so toka utotoni mutu anajifunza music ili kuja kuwa mtu Fulani baadae eg utamuhimiza mtoto soma kwa bidii uwe daktari, pilot etc na uzuri music zinafundishwa at colleges &Univ....
Some fews I have
 
Congo wapo vyema,
Music ni part ya uchumi wao, baba anajiandaa asb anapiga powder na kitoko anaenda club kucheza music anafanya music na kupata lots mbongo mama au mwanamuke yeye anaenda shamba na kufanya shughuli mbalimbali za uchumi kwa kiwango chake
Hakika wapo vizuri sana. Wana sauti nzuri na wanajua pia kutumia vyombo...
 
Jamaa wana mziki wao miaka yote sio huku kwetu hatueleweki tunaimba Mara tucopy kwa wanaija ..
Mara "I go die for u" ngongingo"

Jamaa waliamua kubaki na ladha yao mpka sasa..
Muziki wao unapendwa sana huwa wanaimba live
Zamani wakati sijaacha kunywa beer nilikuwa ninapenda sana mziki wa Kongo live pale Banana
 
Chanzo/siri ya mafanikio ni nini?

kwa wakati ule muziki wa Congo ulisambaa kwa sababu mbalimbali moja wapo ikiwa ni ufadhili waliopewa wasanii na serikali yani serikali ilitowa pesa kwa band kubwa huko zaire kama vile TP ok jazz na Afrisa International
pia kwa mujibu wa Franco luambo katika moja ya interview zake alitaja mauzo ya kazi zake yanatokana na ubunifu na kujituma aliongeza kwa kusema watu wanataka kitu cha tofauti hivo kila siku inambidi atunge nyimbo nzuri
sababu nyingine ni lugha ya lingala ambayo wasanii wa Zaire hutumia, yani inavutia hata kama huelewi kitu
 
Mkuu, huu sio ujasusi wa kimuziki/kiutamadni?...
 
Congo wapo vyema,
Music ni part ya uchumi wao, baba anajiandaa asb anapiga powder na kitoko anaenda club kucheza music anafanya music na kupata lots mbongo mama au mwanamuke yeye anaenda shamba na kufanya shughuli mbalimbali za uchumi kwa kiwango chake so toka utotoni mutu anajifunza music ili kuja kuwa mtu Fulani baadae eg utamuhimiza mtoto soma kwa bidii uwe daktari, pilot etc na uzuri music zinafundishwa at colleges &Univ....
Some fews I have
It means they start doing it at a younger age ndio maana wanakuwa "the best". Samaki mkunje angali m-bichi
 
kwa wakati ule muziki wa Congo ulisambaa kwa sababu mbalimbali moja wapo ikiwa ni ufadhili waliopewa wasanii na serikali yani serikali ilitowa pesa kwa band kubwa huko zaire kama vile TP ok jazz na Afrisa International
pia kwa mujibu wa Franco luambo katika moja ya interview zake alitaja mauzo ya kazi zake yanatokana na ubunifu na kujituma aliongeza kwa kusema watu wanataka kitu cha tofauti hivo kila siku inambidi atunge nyimbo nzuri
sababu nyingine ni lugha ya lingala ambayo wasanii wa Zaire hutumia, yani inavutia hata kama huelewi kitu
Hapo kwenye kutumia lugha ya Lingala hakika umenikosha mkuu. Hata kama haujui maana yake nafsi inafurahi kusikia mtu anaimba kwa sauti matata kama ya Pepe Kalle
 
KIASILI mtu mweusi ni msanii "artist".

Mfano mzuri ww nenda kijijini kwenu uone. Mtu mweusi anacheza (muziki na michezo mingine kibao tu), anaimba (hata bila kutumia kifaa chochote), anachekesha, anasuka, anafuma, anaigiza n.k hata kama hajasomea vitu hivo.

Angalia marekani wale blacks wanavofanya balaa. Hawa wenzetu wakongo walijitambua mapema wakajikita huko. Kwao maisha ni muziki na muziki ndo maisha yenyewe.
 
KIASILI mtu mweusi ni msanii "artist".

Mfano mzuri ww nenda kijijini kwenu uone. Mtu mweusi anacheza (muziki na michezo mingine kibao tu), anaimba (hata bila kutumia kifaa chochote), anachekesha, anasuka, anafuma, anaigiza n.k hata kama hajasomea vitu hivo.
Hizi ndio zinaitwa akili za kuzaliwa. They're inherently genius...
 
Ubora wake,ni sawa na kwenye Soka tu,mfano mtu yupo Tz ila anaipenda zaidi Brazil au Spain kuliko Harambee stars ambayo ni jirani.
 
Back
Top Bottom