Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
- #61
Na upo katika chati kwelikweli mkuu, bila shaka ni Afrika nzima kama sijakosea...Wakongo ni watu wa starehe sana kwa hulka yao. Kutokana na hali hiyo wakawa wabunifu sana katika utunzi wa nyimbo za muziki na uimbaji. Lakini Siasa kali za Mobutu (udikteta) uliwafanya wakongo watafute njia za kujiliwaza kwa kukimbilia kwenye muziki na hivyo mziki wao ukapanda sana chati.