Mvua hii kubwa inayoanguka Dar ni ushahidi kuwa Mungu amemtia muhuri Lissu Oktoba 2025

Mvua hii kubwa inayoanguka Dar ni ushahidi kuwa Mungu amemtia muhuri Lissu Oktoba 2025

Nimerudi Dar usiku wa leo kutoka majuu!

Asubuhi napata taarifa ya Lissu kushinda uenyekiti CHADEMA. Kikubwa zaidi saivi mvua inanyesha Dar.

Kweli Lissu ni mpakwa mafuta wa Mungu maana mvua ni ishara ya kitu kupata kibali cha Mungu
Acha kumuhusisha Mungu kwenye siasa...
 
Hayo matokeo mmeyapata wapi? Mbona tuko live na bado hawajatangaza
 
1000021069.png
 
Kushinda Kwa lisu na kunyesha Kwa mvua inaashiria kuwa amechaguliwa na Mungu.Na CCM ni mawakala wa shetani maana Mvua haikunyesha
 
Salamu ya kwanza iwafikie chama cha form moja, ya pili natuma kwa machawa wakina Ntobi na Nyenyere nawaambia kura za mitandaoni ndio hizo hizo za uraiani, ya tatu na ya mwisho ifike kwa machawa wa Lumumba wote jamvini. Ujumbe ni #people's power
#stronger together
 
Kushinda Kwa lisu na kunyesha Kwa mvua inaashiria kuwa amechaguliwa na Mungu.Na CCM ni mawakala wa shetani maana Mvua haikunyesha
Huwezi kuona mvua kwenye shughuli nyeti kama hizi kwa upande wa CHAMA CHA MAPINDUZI maana kule wanaongozwa na uongo, fitna, chuki na maslahi binafsi.

Mungu hawezi kuwepo kwenye maupuuzi ya CCM
 
Taarifa ninazozipata kutoka ukumbini pale Mlimani City katika uchaguzi wa CHADEMA Taifa, ni kwamba Team Mabadiliko imeibuka kidedea.

Hii ni taarifa njema kwa Tanzania
Huu ni msiba kwa CCM

Hii mvua inayonyesha inanikumbusha zile nyakati zetu utotoni, kila event yenye baraka za Mungu lazima mvua ishuke.

Godbless Lema is a man of the match
Na atakayefiwa leo mpendwa wake itakuwa ni ishara gani?
 
jamani team mbowe naumiaaaa bado nipo ukumbiniii mazeee dah
 
Back
Top Bottom