Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kajifungia chooni analia
Acha kumuhusisha Mungu kwenye siasa...Nimerudi Dar usiku wa leo kutoka majuu!
Asubuhi napata taarifa ya Lissu kushinda uenyekiti CHADEMA. Kikubwa zaidi saivi mvua inanyesha Dar.
Kweli Lissu ni mpakwa mafuta wa Mungu maana mvua ni ishara ya kitu kupata kibali cha Mungu
Kabisa,Mbaya kuliko walivyo fikiria.Hii ni habari mbaya sana kwa Samia na CCM yake.
Hivi mbona kila kitu mnakiwekea siasa!
kuanzia sasa natafuta kafi ya chademaNimerudi Dar usiku wa leo kutoka majuu!
Asubuhi napata taarifa ya Lissu kushinda uenyekiti CHADEMA. Kikubwa zaidi saivi mvua inanyesha Dar.
Kweli Lissu ni mpakwa mafuta wa Mungu maana mvua ni ishara ya kitu kupata kibali cha Mungu
kuanzia sasa natafuta kadi ya chadema
Vipi alivyopigwa risasi 16 na akapona? Hukuona ukuu wa Mungu kwake kwenye suala hili?Acha kumuhusisha Mungu kwenye siasa...
Huwezi kuona mvua kwenye shughuli nyeti kama hizi kwa upande wa CHAMA CHA MAPINDUZI maana kule wanaongozwa na uongo, fitna, chuki na maslahi binafsi.Kushinda Kwa lisu na kunyesha Kwa mvua inaashiria kuwa amechaguliwa na Mungu.Na CCM ni mawakala wa shetani maana Mvua haikunyesha
Jasusi uchwara na mwabudu mizimu (mashetani). Aliambiwa akashupaza shingo na akamkosea heshima Lissu kwa kashfa na kejeli kibao.
Na atakayefiwa leo mpendwa wake itakuwa ni ishara gani?Taarifa ninazozipata kutoka ukumbini pale Mlimani City katika uchaguzi wa CHADEMA Taifa, ni kwamba Team Mabadiliko imeibuka kidedea.
Hii ni taarifa njema kwa Tanzania
Huu ni msiba kwa CCM
Hii mvua inayonyesha inanikumbusha zile nyakati zetu utotoni, kila event yenye baraka za Mungu lazima mvua ishuke.
Godbless Lema is a man of the match
Yeriko ni mjanja mjanja anayeishi mjini kwa ujanja ujanja. Nawaonea huruma wanaomsikiliza na kumuaminiJasusi uchwara na mwabudu mizimu (mashetani). Aliambiwa akashupaza shingo na akamkosea heshima Lissu kwa kashfa na kejeli kibao.
Pamoja na dhambi ambazo binadamu tunazo, MUNGU ndiye alimuokoa LISSU.Acha kumuhusisha Mungu kwenye siasa...