Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
😆😆😆 Huu msimu wa mvua sio unatutabiria wakati ndio wakati wake kunyesha,Kwa mwenye macho na ajiandae,mzigo unaokuja sio wa kawaida,msiseme hamkuonywa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😆😆😆 Huu msimu wa mvua sio unatutabiria wakati ndio wakati wake kunyesha,Kwa mwenye macho na ajiandae,mzigo unaokuja sio wa kawaida,msiseme hamkuonywa.
Budda itakua umekuja mjini janaMoja kwa moja,
Katika kipindi cha miaka 7 Dar sijawahi kushuhudia mvua kama iliyopiga siku mbili hizi haswa ya leo ndio bab kubwa sehemu nyingi maji yamejaa sana.
Tukirudi nyuma wakati tahadhari zinatolewa na TMA wabongo wengi mitandaoni na mitaani walikuwa wanabeza sana na wengine kuleta dhihaka, sasa kwa hali inayondelea bado wale waliokuwa wanabeza na kudharau wanashikilia misimamo yao?
View attachment 2801355
View attachment 2801356
View attachment 2801357
Wabongo tupende kuamini vya kwetu..
#UziTayari
Nyumba za uswazi mabati yanasumbua ndani wanakinga mabeseni na majaba mabati yanavuja hapo bado maji hayajafurika na kuingia ndani,Kwa hiyo wengine saivi wanahaha
Mkuu hizi ndiyo mvua za El Nino.Ni mvua kubwa ila sio Elnino mkuu..
Mkuu unaijua Elnino?Mkuu hizi ndiyo mvua za El Nino.
TMA walitabiri vizuri sema kuna kupishana muda kidogo sana ambapo kisayansi inakubalika (errors).
Maeneo ya Kanda ya Ziwa na kaskazini zilianza mapema kidogo.Lakini walitabiri itaanza Oktoba na hii ni November na mikoa mingine iliyotabiriwa bado hakuna.
Kuna watu wamefutwa kazi kwa kutumia utabiri wa TMA kwamba muda wa kazi utapungua kisa El nino ya kuanzia Oktoba.
Ya 1996 au 1998 Kama sikosei mwaka nilikuwa mkubwa tu.Mkuu unaijua Elnino?
Au umesimuliwa kuhusu Elnino?
Nina ijua na nimeishuhudia hii sio ila hii ni mvua Nyingi za msimu kama walivyosema TMA
Jamaa alikuwa anakuja Dar na kuondoka na sio mkazi wa Dar.Budda itakua umekuja mjini jana
Hapa nilipo sehemu flani mkoa wa Pwani kuna mvua leo siku 4 inashuka kutwa nzima. Kama leo toka asubuhi Hadi usiku muda huu 8:47PM inanyesha.Mkuu unaijua Elnino?
Au umesimuliwa kuhusu Elnino?
Nina ijua na nimeishuhudia hii sio ila hii ni mvua Nyingi za msimu kama walivyosema TMA
Ni 98 hiyo naikumbuka maana nilikuwa ndo naoa mke wangu wa kwanzaYa 1996 au 1998 Kama sikosei mwaka nilikuwa mkubwa tu.
Nilishuhudia vizuri lile balaa.
Dar Pia inatandika vya kutosha sanaHapa nilipo sehemu flani mkoa wa Pwani kuna mvua leo siku 4 inashuka kutwa nzima. Kama leo toka asubuhi Hadi usiku muda huu 8:47PM inanyesha.
Mvua kubwa sana tena sana.
Au kununu mandege ambayo hayana positive impact yeyote kwenye uchumi badala yake ni tunasikia hasara.
Pole mkuu vipi hali halisi lakiniTunaoteseka ni sisi wamachinga hatuna maeneo rasmi ya biashara siku ya pili nashinda nyumbani bila kwenda kwenye mihangaiko