Mvua inayoendea Dar ni hatari sana, wale waliokuwa wanawabeza TMA wapo?

Mvua inayoendea Dar ni hatari sana, wale waliokuwa wanawabeza TMA wapo?

wiki iliyopita nilipata wasiwasi huwenda mamlaka ya hali ya hewa imechemsha
Yah ,ulisema cheki hapo chini 👇👇
Screenshot_20231102_194804.jpg
 
Moja kwa moja,

Katika kipindi cha miaka 7 Dar sijawahi kushuhudia mvua kama iliyopiga siku mbili hizi haswa ya leo ndio bab kubwa sehemu nyingi maji yamejaa sana.

Tukirudi nyuma wakati tahadhari zinatolewa na TMA wabongo wengi mitandaoni na mitaani walikuwa wanabeza sana na wengine kuleta dhihaka, sasa kwa hali inayondelea bado wale waliokuwa wanabeza na kudharau wanashikilia misimamo yao?

View attachment 2801355

View attachment 2801356

View attachment 2801357

Wabongo tupende kuamini vya kwetu..

#UziTayari
Budda itakua umekuja mjini jana
 
Lakini walitabiri itaanza Oktoba na hii ni November na mikoa mingine iliyotabiriwa bado hakuna.

Kuna watu wamefutwa kazi kwa kutumia utabiri wa TMA kwamba muda wa kazi utapungua kisa El nino ya kuanzia Oktoba.
 
Maeneo ya Kanda ya Ziwa na kaskazini zilianza mapema kidogo.
Muda ni kwa sababu upepo unaoleta mawingu ya mvua unaweza kubadili speed na uelekeo. Mabadiliko ya temperature na humidity, n.k.
Na ndiyo maana wanaita utabiri (forecast).
Ukielewa maana ya utabiri utajua inaweza usiwe 100%.
"A seven-day forecast can accurately predict the weather about 80 percent of the time and a five-day forecast can accurately predict the weather approximately 90 percent of the time. However, a 10-day—or longer—forecast is only right about half the time."
 
Mkuu unaijua Elnino?
Au umesimuliwa kuhusu Elnino?
Nina ijua na nimeishuhudia hii sio ila hii ni mvua Nyingi za msimu kama walivyosema TMA
Ya 1996 au 1998 Kama sikosei mwaka nilikuwa mkubwa tu.
Nilishuhudia vizuri lile balaa.
 
Mkuu unaijua Elnino?
Au umesimuliwa kuhusu Elnino?
Nina ijua na nimeishuhudia hii sio ila hii ni mvua Nyingi za msimu kama walivyosema TMA
Hapa nilipo sehemu flani mkoa wa Pwani kuna mvua leo siku 4 inashuka kutwa nzima. Kama leo toka asubuhi Hadi usiku muda huu 8:47PM inanyesha.
Mvua kubwa sana tena sana.
 
Hapa nilipo sehemu flani mkoa wa Pwani kuna mvua leo siku 4 inashuka kutwa nzima. Kama leo toka asubuhi Hadi usiku muda huu 8:47PM inanyesha.
Mvua kubwa sana tena sana.
Dar Pia inatandika vya kutosha sana
 
Tunapenda sana sifa za kijinga watu hawana maji wala umeme wa uhakika wapo busy na mandege
Au kununu mandege ambayo hayana positive impact yeyote kwenye uchumi badala yake ni tunasikia hasara.
 
Tahadharri uhimu sana, nimeambiwa hata mkoa wa Pwani kuna mvua si kawaida.
 
Kwa wale wenye mifugo au wenye kufuga mbwa au paka majumbani tazameni watapoanza kubadilisha tabia ghafla, mjuwe kuna hatari wana i sense.

Mwenyeezi Mungu aliwajaalia wanyama wote sensors za early warning kwa mabadiliko ya hali ya hewa na tabia nchi isiyo ya kawaida.
 
Simba la masimba dangote alinukuliwa akisema "wanaoimbea mvua kunyesha, wambiae si bado tunakesha..."
 
Back
Top Bottom