Mvua kubwa DSM, klabu ya Yanga yazingirwa na maji muda huu

Mvua kubwa DSM, klabu ya Yanga yazingirwa na maji muda huu

Attachments

  • Screenshot_20231112_122654_Chrome.jpg
    Screenshot_20231112_122654_Chrome.jpg
    114.3 KB · Views: 2
Dah ila kuwa na watu wasio na maono ya mbali ni tabu tupu. Jiji kama dar miundombinu ingetakiwa iwe ya miaka hata 30 mbele kwamba mpaka miaka hiyo ifike ndipo tuone changamoto ila sisi tunajenga leo kesho tubomoe. Walipoweka kituo cha mwendo kasi kiliwashinda nini kufanya tahlthmini na kurekebisha hilo eneo mabasi yanaingia maji yamepaki pale pale ni mtihani sana
 
Kwa hiyo ikijenga daraja kama la tazara yatapita tena?? Unajua daraja wana maanisha fly over ..?
Kwanini yasipite wakati kabla ya ujenzi wa mwendokasi yalikuwa hayapiti juu ya daraja?
Pia, ikijengwa hiyo unayoita fly over alafu hizo za chini zikiachwa bila kutumika yanajaa uchafu na decomposition ya udongo unaongezeka mwisho wa siku maji yanapita tena juu ya fly over.
Watafute chanzo cha uchafu zinazoletwa na maji, mto usafishwe kwelikweli...mbona nchi za wenzetu wamejenga hizo channel za maji na hatuoni zikileta usumbufu ila sisi li mto tu linatushinda kuthibiti
 
Utashangaa Hizi Billion 300 Walizotoa Mkandarasi Ajenge Barabara Akajenga Kituko Ambacho Hakitatui Tatizo La Barabara
Wataelekeza Nguvu Kwenye Upigaji Tu
Kama ubungo ilijengwa naamini hiyo nayo itajengwa kwa kiwango kikubwa
 
Back
Top Bottom