Mvua Kubwa inanyesha Dar tangu usiku wa manane

Dar hakuna shamba,shamba ni akili yako/mtaji
 
Leo sherehe za kigodoro za kampeni zimedoda
 
Habari za jioni wana-Dar?
Hii mvua inayoendelea kunyesha haijaleta madhara kweli? Tujuzane yanayojiri ili tujue njia zisizopitika tujue tunafanyaje.
 
Wana dathramu kila kitu ni habari, hovyo kabisa!!
 
Wadau hapa nilipo sijatoka mishemishe kuna mvua kubwa inanyesha yan hatari tupu barabara hazipitiki kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…