Mvua kubwa Pwani na Dar; Tujuzane hali ilivyo maeneo yetu ili tuwe na taarifa za TAHADHARI

Radi sio poa kabisa unaweza usiogope kama haujawahi shuhudia ikimkausha mtu
 
Nimekuwa surprised kusoma kwamba kuna watu wanakosa usingizi kisa mvua,mimi hata ije ya mawe kama nimelala mtabeba mpeleke morgue mkidhani nimekata moto huo usingizi wake.
 
Hicho kilichopiga Dar Leo ni Cha kuoteshea mchicha halafu wanalia lia

Dar Kila kitu wanalalamika.

Wiki iliyoisha nilikuwa Kahama. Dadeki! Kuna mvua zinapiga bhana! Kwanza radi inapiga hadi Baba mwenye nyumba unasema Leo kazi IPO.

Mstari mwekundu unajichora unatembea alafu unakuja kutua karibu na nyumba yenu mpaka cheche. Sikilizia mlio wake. *****. Kama unapresha unaweza kufa.

Ogopa radi inapiga mpaka umeme unajizima. Nilikimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…