Mvua siku 3 tu hiyo SGR yetu imesombwa na maji

Mvua siku 3 tu hiyo SGR yetu imesombwa na maji

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
16,871
Reaction score
39,881
Tukumbuke hapa majuzi Taifa halikuwa na maji kutokana na uhaba wa mvua

Mvua zimeanza wiki hii zimesomba reli yetu ya ma trillions ya pesa za walipa Kodi masikini.

Hii hii reli itahimiri hali ya hewa kipindi cha masika cha mwezi March

Hivi kweli Engineer aliyeingia darasani atapanda nguzo nyepesi kwenye njia ya maji vile

Hiyo nguzo kama biscuits yaani hiyo nguzo anko nzala anaweza kuikumbatia ndo ishikilie reli ya SGR

Hizo feasibility study Huwa mnafanyaje?

Serikali iwakamate hawa wahuni waliohujumu huu mradi wa SGR, Nina uhakika SGR itarejea TANZANIA baada ya miaka kadhaa

Waziri mkuu analalamikia mabeberu,
1767371737071.jpg
1767373091183.jpg
0
 

Attachments

  • 1767373097981.jpg
    1767373097981.jpg
    72.1 KB · Views: 26
Tukumbuke hapa majuzi Taifa halikuwa na maji kutokana na uhaba wa mvua

Mvua zimeanza wiki hii zimesomba reli yetu ya ma trillions ya pesa za walipa Kodi masikini.

Hii hii reli itahimiri hali ya hewa kipindi cha masika cha mwezi March

Hivi kweli Engineer aliyeingia darasani atapanda nguzo nyepesi kwenye njia ya maji vile

Hiyo nguzo kama biscuits yaani hiyo nguzo anko nzala anaweza kuikumbatia ndo ishikilie reli ya SGR

Hizo feasibility study Huwa mnafanyaje?

Serikali iwakamate hawa wahuni waliohujumu huu mradi wa SGR, Nina uhakika SGR itarejea TANZANIA baada ya miaka kadhaa

Waziri mkuu analalamikia mabeberu,
View attachment 3524141View attachment 35241420
Aibu sana
 
Tulia dogo lipa kodi ikarekebishwe acha kujilizaliza, na suala la kodi siyo ombi ni lazima utaitoa hata kwa fimbo.
 
Watanzania wengi sio Wazalendo wanajiibia hadi vitu ambavyo vitawasaidia wao na vizazi vyao..reli aliyojenga Mchina Tazara ipo vizuri ya miaka mingi iliyopita huku reli mpya ikiharibika tuna utani sana na hela za walipa kodi..
Kule pwani kuna madaraja ya reli hata maji yawe vipi haijawahi hata kutia wasiwasi leo hii waziri anasema mambo ya kijinga kabisa bada ya kukamata wote walihusika..

Yaani reli ya Tazara iko imara miaka 1000 ijayo lakini reli ya sgr hata mwaka haujaisha aisee hili taifa hapana kwakweli
 
Back
Top Bottom