Tuna bahati mbaya kama WatanganyikaWatanzania wengi sio Wazalendo wanajiibia hadi vitu ambavyo vitawasaidia wao na vizazi vyao..reli aliyojenga Mchina Tazara ipo vizuri ya miaka mingi iliyopita huku reli mpya ikiharibika tuna utani sana na hela za walipa kodi..
Pesa ya siku ya uhuru ipelekwe hukoTulia dogo lipa kodi ikarekebishwe acha kujilizaliza, na suala la kodi siyo ombi ni lazima utaitoa hata kwa fimbo.
Unapenda sana hela etiTulia dogo lipa kodi ikarekebishwe acha kujilizaliza, na suala la kodi siyo ombi ni lazima utaitoa hata kwa fimbo.
Waliokosa uzalendo sio Watanzania kwa ujumla, bali ni ccm na genge lake la watawala ambao ni mafisadiWatanzania wengi sio Wazalendo wanajiibia hadi vitu ambavyo vitawasaidia wao na vizazi vyao..reli aliyojenga Mchina Tazara ipo vizuri ya miaka mingi iliyopita huku reli mpya ikiharibika tuna utani sana na hela za walipa kodi..
Kwa uzembe au makusudi Wanatengeneza tatizo ili wakati wa kulitatua tuwasifie kwa uwajibikaji wao uliotukuka. 🤣🤣Pesa ya siku ya uhuru ipelekwe huko
Hii ni zaidi ya AibuAibu sana
10%Kwa uzembe au makusudi Wanatengeneza tatizo ili wakati wa kulitatua tuwasifie kwa uwajibikaji wao uliotukuka. 🤣🤣
Nilipita Durban Kwazulu Natal wanajenga bara bara moja ya kisasa sana na ina ubora wa hali ya juu niliwauliza hizo pesa mmetoa wapi wanasema ni za Manispaa yaani makusanyo ya ndani vitu wanavyofanya ni vya ubora wa hali ya juu mno sisi hela za ushuru wahuni wanazitafuna kama hazina kazi ya kufanya..Waliokosa uzalendo sio Watanzania kwa ujumla, bali ni ccm na genge lake la watawala ambao ni mafisadi
Wanatuonea wivu kwasababu ya UYARANIAMU YETUTukumbuke hapa majuzi Taifa halikuwa na maji kutokana na uhaba wa mvua
Mvua zimeanza wiki hii zimesomba reli yetu ya ma trillions ya pesa za walipa Kodi masikini.
Hii hii reli itahimiri hali ya hewa kipindi cha masika cha mwezi March
Hivi kweli Engineer aliyeingia darasani atapanda nguzo nyepesi kwenye njia ya maji vile
Hiyo nguzo kama biscuits yaani hiyo nguzo anko nzala anaweza kuikumbatia ndo ishikilie reli ya SGR
Hizo feasibility study Huwa mnafanyaje?
Serikali iwakamate hawa wahuni waliohujumu huu mradi wa SGR, Nina uhakika SGR itarejea TANZANIA baada ya miaka kadhaa
Waziri mkuu analalamikia mabeberu,
View attachment 3524141View attachment 35241420
Nimetumia sana Tazara nikiwa shule kutoka Mbeya kwenda Daslm maeneo mengi yana ubora wa hali ya juu hata kokoto zao ukiangalia unaona kazi ilifanyika sio huku kwingine..Kule pwani kuna madaraja ya reli hata maji yawe vipi haijawahi hata kutia wasiwasi leo hii waziri anasema mambo ya kijinga kabisa bada ya kukamata wote walihusika..
Yaani reli ya Tazara iko imara miaka 1000 ijayo lakini reli ya sgr hata mwaka haujaisha aisee hili taifa hapana kwakweli
Oyaah pale pwani kuna sehemu inaitwa gwata- kipola pale wakati wa masika maji hayaelezeki lakini kuna daraja pale maji yamejaa tuti ila wazaramo wapo juu yake hawana hofu yoyote ileNimetumia sana Tazara nikiwa shule kutoka Mbeya kwenda Daslm maeneo mengi yana ubora wa hali ya juu hata kokoto zao ukiangalia unaona kazi ilifanyika sio huku kwingine..
Feasibility study ilifanyika wakati wa maguMe nimesoma HGL ila hapo sipitishi reli
Tanzania's SGR services to resume January 3rd after temporary suspension | The Citizen Tanzania's SGR services to resume January 3rd after temporary suspensionWatanzania wengi sio Wazalendo wanajiibia hadi vitu ambavyo vitawasaidia wao na vizazi vyao..reli aliyojenga Mchina Tazara ipo vizuri ya miaka mingi iliyopita huku reli mpya ikiharibika tuna utani sana na hela za walipa kodi..