Mvua siku 3 tu hiyo SGR yetu imesombwa na maji

Anaetoa hela ndio anaejenga Mkuu kwa maana unataka kitu kiwe kwa ubora gani hata kama utaita makampuni kutoka Nje yajenge hauwezi kuweka ile nguzo kwenye daraja ni kama Nchi haina hata wataalamu wa madaraja au maeneo tata.
Wewe ni mhandisi?
 
Hivi vitu watu weusi hampendi kusikia unadhani nami ni msaka nyoka kama wewe still nipo huko kwenye mambo mengi nipo Tanzania kwa mapumziko ya sikukuu Jan hii narudi...
Haijalishi,huwezi pinga kuweka nguzo pale ikiwa kweli mhandisi,pale hapana nguzo moja,ni mita kama 40-50 hivi
 
Nguzo ni ndogo na chache ndio maana umeona imetolewa na maji napo huku najenga majemgo imara sio kwa nguzo zile kama nafanya kazi SA kwa viwango vyao hapa wewe utaweza kunikosoa kweli kama unataka kujifunza karibu nipo home Tanzania kwa sasa..
 
Nenda insta ya TRC uone picha kwa ukubwa, hakuna nguzo iliyotolewa na maji,nguzo itolewe na maji alhamis,jumamosi safari ziendelee!!
 
Reli ya mjerumani ina zaidi na miaka mia na mamvua ya kila namna yamepiga na inadunda tu, hii ya mwegulue na masanja kadogodogo inaprove upigaji wa hatari
 
Hata hiyo ya Mjerumani huwa inasombwa mara nyingi, angalia video za TRC utaona.
 
Back
Top Bottom