gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Tanzania's SGR services to resume January 3rd after temporary suspension | The Citizen Tanzania's SGR services to resume January 3rd after temporary suspensionTukumbuke hapa majuzi Taifa halikuwa na maji kutokana na uhaba wa mvua
Mvua zimeanza wiki hii zimesomba reli yetu ya ma trillions ya pesa za walipa Kodi masikini.
Hii hii reli itahimiri hali ya hewa kipindi cha masika cha mwezi March
Hivi kweli Engineer aliyeingia darasani atapanda nguzo nyepesi kwenye njia ya maji vile
Hiyo nguzo kama biscuits yaani hiyo nguzo anko nzala anaweza kuikumbatia ndo ishikilie reli ya SGR
Hizo feasibility study Huwa mnafanyaje?
Serikali iwakamate hawa wahuni waliohujumu huu mradi wa SGR, Nina uhakika SGR itarejea TANZANIA baada ya miaka kadhaa
Waziri mkuu analalamikia mabeberu,
View attachment 3524141View attachment 35241420
Habari mbaya kwenu