Mvua siku 3 tu hiyo SGR yetu imesombwa na maji

Watanzania wengi sio Wazalendo wanajiibia hadi vitu ambavyo vitawasaidia wao na vizazi vyao..reli aliyojenga Mchina Tazara ipo vizuri ya miaka mingi iliyopita huku reli mpya ikiharibika tuna utani sana na hela za walipa kodi..
Tuna bahati mbaya kama Watanganyika
 
Watanzania wengi sio Wazalendo wanajiibia hadi vitu ambavyo vitawasaidia wao na vizazi vyao..reli aliyojenga Mchina Tazara ipo vizuri ya miaka mingi iliyopita huku reli mpya ikiharibika tuna utani sana na hela za walipa kodi..
Waliokosa uzalendo sio Watanzania kwa ujumla, bali ni ccm na genge lake la watawala ambao ni mafisadi
 
Waliokosa uzalendo sio Watanzania kwa ujumla, bali ni ccm na genge lake la watawala ambao ni mafisadi
Nilipita Durban Kwazulu Natal wanajenga bara bara moja ya kisasa sana na ina ubora wa hali ya juu niliwauliza hizo pesa mmetoa wapi wanasema ni za Manispaa yaani makusanyo ya ndani vitu wanavyofanya ni vya ubora wa hali ya juu mno sisi hela za ushuru wahuni wanazitafuna kama hazina kazi ya kufanya..
 
Wanatuonea wivu kwasababu ya UYARANIAMU YETU
 
Nimetumia sana Tazara nikiwa shule kutoka Mbeya kwenda Daslm maeneo mengi yana ubora wa hali ya juu hata kokoto zao ukiangalia unaona kazi ilifanyika sio huku kwingine..
 
Nimetumia sana Tazara nikiwa shule kutoka Mbeya kwenda Daslm maeneo mengi yana ubora wa hali ya juu hata kokoto zao ukiangalia unaona kazi ilifanyika sio huku kwingine..
Oyaah pale pwani kuna sehemu inaitwa gwata- kipola pale wakati wa masika maji hayaelezeki lakini kuna daraja pale maji yamejaa tuti ila wazaramo wapo juu yake hawana hofu yoyote ile
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…