gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Tanzania's SGR services to resume January 3rd after temporary suspension | The Citizen Tanzania's SGR services to resume January 3rd after temporary suspensionTukumbuke hapa majuzi Taifa halikuwa na maji kutokana na uhaba wa mvua
Mvua zimeanza wiki hii zimesomba reli yetu ya ma trillions ya pesa za walipa Kodi masikini.
Hii hii reli itahimiri hali ya hewa kipindi cha masika cha mwezi March
Hivi kweli Engineer aliyeingia darasani atapanda nguzo nyepesi kwenye njia ya maji vile
Hiyo nguzo kama biscuits yaani hiyo nguzo anko nzala anaweza kuikumbatia ndo ishikilie reli ya SGR
Hizo feasibility study Huwa mnafanyaje?
Serikali iwakamate hawa wahuni waliohujumu huu mradi wa SGR, Nina uhakika SGR itarejea TANZANIA baada ya miaka kadhaa
Waziri mkuu analalamikia mabeberu,
View attachment 3524141View attachment 35241420
Tanzania's SGR services to resume January 3rd after temporary suspension | The Citizen Tanzania's SGR services to resume January 3rd after temporary suspensionTusipokuwa makini, SGR ni janga lijalo | Page 11 | JamiiForums Tusipokuwa makini, SGR ni janga lijalo
hichi kipande Cha Kilosa wakoloni wenyewe wakifanya ujenzi walikua wanafanyia umakini sana sababu hapa maji yanajaa mvua ikinyesha MpwapwaTukumbuke hapa majuzi Taifa halikuwa na maji kutokana na uhaba wa mvua
Mvua zimeanza wiki hii zimesomba reli yetu ya ma trillions ya pesa za walipa Kodi masikini.
Hii hii reli itahimiri hali ya hewa kipindi cha masika cha mwezi March
Hivi kweli Engineer aliyeingia darasani atapanda nguzo nyepesi kwenye njia ya maji vile
Hiyo nguzo kama biscuits yaani hiyo nguzo anko nzala anaweza kuikumbatia ndo ishikilie reli ya SGR
Hizo feasibility study Huwa mnafanyaje?
Serikali iwakamate hawa wahuni waliohujumu huu mradi wa SGR, Nina uhakika SGR itarejea TANZANIA baada ya miaka kadhaa
Waziri mkuu analalamikia mabeberu,
View attachment 3524141View attachment 35241420
Kwenye masuala ya nchi kuwa na imani kidogo mkuu,sio kushabikia kila kitu tunaumia sote,hata kama upo serikalini hii sio poa bro,vyama vitapita tz itakuepo.Tulia dogo lipa kodi ikarekebishwe acha kujilizaliza, na suala la kodi siyo ombi ni lazima utaitoa hata kwa fimbo.
Kuwa serious kidogo uchawa Hadi Kwa vitu sensitive na kitaalamu kama hivi, so unaona fahari safari za treni kusimama na kurudi Tena hutizami athari zingine za kiuchumi/biashara, Kwa mvua ambazo sio kubwa kiivyo kama za masika za March na Aprili Hali tu ipo hivyoTanzania's SGR services to resume January 3rd after temporary suspension | The Citizen Tanzania's SGR services to resume January 3rd after temporary suspension
Habari mbaya kwenu
Morogoro na Dodoma mvua kubwa/masika ni disemba na march, April ni dar na pwani ndiyo masika mpaka may,acha kukaririKuwa serious kidogo uchawa Hadi Kwa vitu sensitive na kitaalamu kama hivi, so unaona fahari safari za treni kusimama na kurudi Tena hutizami athari zingine za kiuchumi/biashara, Kwa mvua ambazo sio kubwa kiivyo kama za masika za March na Aprili Hali tu ipo hivyo
Kwa akili zako ndogo unaamini kabisa SGR itaanza kazi na kupita hilo eneo bila ukarabati mkubwa wa kuweka nguzo mpya?Tanzania's SGR services to resume January 3rd after temporary suspension | The Citizen Tanzania's SGR services to resume January 3rd after temporary suspension
Na huwezi kukarabati kipindi hiki cha mvuaKwa akili zako ndogo unaamini kabisa SGR itaanza kazi na kupita hilo eneo bila ukarabati mkubwa wa kuweka nguzo mpya?
Kwa hiyo nguzo imewekwa leo!?Kwa akili zako ndogo unaamini kabisa SGR itaanza kazi na kupita hilo eneo bila ukarabati mkubwa wa kuweka nguzo mpya?
Alikuta kazi imeshaanzaHiki kipande samia alikula hela zake.
Feasibility study ilifanyika wakati wa magu
Reli ya SGR wanajenga watanzania au mabeberu?Watanzania wengi sio Wazalendo wanajiibia hadi vitu ambavyo vitawasaidia wao na vizazi vyao..reli aliyojenga Mchina Tazara ipo vizuri ya miaka mingi iliyopita huku reli mpya ikiharibika tuna utani sana na hela za walipa kodi..