Anaetoa hela ndio anaejenga Mkuu kwa maana unataka kitu kiwe kwa ubora gani hata kama utaita makampuni kutoka Nje yajenge hauwezi kuweka ile nguzo kwenye daraja ni kama Nchi haina hata wataalamu wa madaraja au maeneo tata.Reli ya SGR wanajenga watanzania au mabeberu?
Hivi Lucha, kuna kitu hata kimoja ambacho umewahi kuona serikali inakosea?Tulia dogo lipa kodi ikarekebishwe acha kujilizaliza, na suala la kodi siyo ombi ni lazima utaitoa hata kwa fimbo.
Wewe ni mhandisi?Anaetoa hela ndio anaejenga Mkuu kwa maana unataka kitu kiwe kwa ubora gani hata kama utaita makampuni kutoka Nje yajenge hauwezi kuweka ile nguzo kwenye daraja ni kama Nchi haina hata wataalamu wa madaraja au maeneo tata.
Ukijua kuwa ni mhasibu au Engineer itakusaidia nini...Wewe ni mhandisi?
Nakukumbusha kuwa acha kuingilia fani za watu,watu wanasomea uhandisi miakaUkijua kuwa ni mhasibu au Engineer itakusaidia nini...
Mimi ni mmoja ya Watanzania wachache tuliopita Stellenboch univ na kufanya kazi Debeers Marine..Nakukumbusha kuwa acha kuingilia fani za watu,watu wanasomea uhandisi miaka.
Ulipoteza muda tuMimi ni mmoja ya Watanzania wachache tuliopita Stellenboch univ na kufanya kazi Debeers Marine..
Hivi vitu watu weusi hampendi kusikia unadhani nami ni msaka nyoka kama wewe still nipo huko kwenye mambo mengi nipo Tanzania kwa mapumziko ya sikukuu Jan hii narudi...Ulipoteza muda tu
Haijalishi,huwezi pinga kuweka nguzo pale ikiwa kweli mhandisi,pale hapana nguzo moja,ni mita kama 40-50 hiviHivi vitu watu weusi hampendi kusikia unadhani nami ni msaka nyoka kama wewe still nipo huko kwenye mambo mengi nipo Tanzania kwa mapumziko ya sikukuu Jan hii narudi...
Nguzo ni ndogo na chache ndio maana umeona imetolewa na maji napo huku najenga majemgo imara sio kwa nguzo zile kama nafanya kazi SA kwa viwango vyao hapa wewe utaweza kunikosoa kweli kama unataka kujifunza karibu nipo home Tanzania kwa sasa..Haijalishi,huwezi pinga kuweka nguzo pale ikiwa kweli mhandisi,pale hapana nguzo moja,ni mita kama 40-50 hivi
Nenda insta ya TRC uone picha kwa ukubwa, hakuna nguzo iliyotolewa na maji,nguzo itolewe na maji alhamis,jumamosi safari ziendelee!!Nguzo ni ndogo na chache ndio maana umeona imetolewa na maji napo huku najenga majemgo imara sio kwa nguzo zile kama nafanya kazi SA kwa viwango vyao hapa wewe utaweza kunikosoa kweli kama unataka kujifunza karibu nipo home Tanzania kwa sasa..
Hata hiyo ya Mjerumani huwa inasombwa mara nyingi, angalia video za TRC utaona.Reli ya mjerumani ina zaidi na miaka mia na mamvua ya kila namna yamepiga na inadunda tu, hii ya mwegulue na masanja kadogodogo inaprove upigaji wa hatari
Wewe mgeni hapa JF, hufahamu misimamo yangu. Uchawa na mimi wapi na wapi.Pole chawa