Mvua zinazonyesha haziingizi Maji kwenye Mabwawa ya Umeme, acheni kulaumu kuhusu Mgawo
Naah pops you are better than this
Niambie nimekosea wapi kutokana na maelezo ya mwamba hapo. Nimechukua alichosema, mvua inanyesha maeneo ambayo flow ya maji haiendi huko mabwawa yalipo so it's obvious mabwawa hayatajaa maji.
 
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La

Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza matatizo .

TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.

Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.
Ifike wakati sasa nchi ikiwa katika kipindi hiki cha amani ambacho hakuna hofu ya tishio la vita, rasilimali zote muhimu za nchi zilindwe moja kwa moja na JWTZ kwa kushirikiana na vyombo vya usalama. Ni dhahiri kuwa baadhi ya wanasiasa kwa kushirikiana na baadhi ya wafanyabiashara wakubwa wameweka maslahi yao binafsi na kupuuza yale ya umma, hivyo kusababisha kadhia yote hii.

Ulinzi na usalama wa vyanzo vyote muhimu vya maji, miundombinu yake, na udhibiti wa mabwawa ya umeme ufanyike kwa ukaribu zaidi ya mazowea yaliyopo na ambayo tunayasikia kutokana na kauli za TANESCO yenyewe pamoja na wanasiasa. Haiwezekani kabisa na wala haingii akilini kuona sababu zisizo na mashiko kabisa zikitolewa kuhusu upatikanaji wa maji, katika kipindi ambacho mvua nyingi zikinyesha nchini.

Aidha, waandidhi makini wa habari za kiuchumguzi wamekosekana siku za hivi karibuni hapa nchini ambao kwa kiasi fulani wangaliweza hata kuonyesha tatizo lipo wapi na chanzo chake ni nini. Hàya ndiyo matunda na matokeo ya uporaji wa kura wa CCM katika chaguzi za 2019 na 2020 huku wakishirikiana na vyombo vya dola.
 
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La

Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza matatizo .

TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.

Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.
Bora maharage na janari walitudanganya kisayansi zaidi, lakini huyu kiazi wa sasa kafunga kazi. Kwa hiyo mito inayopeleka maji kwenye mabwawa ya kufua umeme imebadilisha mkondo au imekuaje?
 
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La

Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza matatizo .

TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.

Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.
Sasa mvua zikinyesha kanda ya ziwa hayo maji yatafikaje kidatu au Mtera. Huo ndio ukweli.
 
R.I.P Magufuli

Kwenye kipindi chako hatukuwahi kusikia huu upuuzi
Wewe ndiye mpuuzi usiyeelewa. Siku hizi kila mtu mjuaji wa kila kitu, kumbukeni kila mtu ni mjinga kwenye fani ya mwenzake.
 
Vyanzo kidatu, mtera vyq vya mito yako ni nyqnda za juu kusin lakin kumbuken mwaka jan nyqnda za juu kusin mvua zilinyesha za kutosha ila maji yalimwagwa MAKUSUDI SO KAZ KWENU NA HUK MVUA BADO MPAKA JANUARY NDO ZINACHANGANYA HIVYO MPAKA MWEZ WA TATU NDO VYANZO VITAJAAA
Thibitisha yakimwagwa makusudi, acha uongo wa vijiweni.
 
Iringa huku hakuna mvua ndipo lilipo bwawa la mtera sasa mvua inayesha Dar Kuna bwawa gani linalozalisha umeme?
Wanataka maji ya mvua inayonyesha Dar yakazalishe umeme Mtera, labda tuchote na ndoo na kuyapeleka Mtera au tuvute na pampu kuyapeleka huko. Hivi watu walisoma jiografia ya nini kama wanashindwa kukumbuka mambo madogo kama haya.
 
Mkuu mwaka jana mvua haikuwa nyingi ila ilinyesha vizuri kwa ajili ya mazao/wakulima mvua Ilikuwa inayesha ndogondogo kwa muda mrefu(maji yanaingia chini) kuhusu maji kumwagwa mtera kwa kweli hilo sijui
Nyanda za juu kusini mwaka jana mvua zilinyesha za kutosha.
 
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Tanesco , kwamba hizo mvua mnazoona zinanyesha haziwezi kupunguza mgawo wa umeme kwa vile maji ya mvua hizo hayaingii kwenye mabwawa hayo , haijulikani kama mabwawa hayo yamepigwa Bati juu yake au La

Na mnaambiwa zaidi mvua hizo zinaharibu miundo mbinu na kuongeza matatizo .

TANESCO imesema mvua zinazoendelea kunyesha katika maeneo mbalimbali nchini hususani katika ukanda wa Pwani na ukanda wa Ziwa Victoria, mtiririko wa maji yake hauelekei viliko vyanzo vya uzalishaji wa umeme vya Mtera, Kihanzi na Kidatu.

Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga amesema mvua hizo zimeleta athari katika miundombinu ya shirika katika baadhi ya maeneo, hivyo kuongeza changamoto katika upatikanaji wa umeme.
Huyu Mkurugenzi wa TANESCO, Eng. Gissima Nyamo-Hanga Muongo hafai kuwaMkurugenz waTanesko anasema uongo mchana kweupe. Mheshimiwa Rais Mama Samia Suluhu anawapata wapi hawa wasanii? Sijuwi Mama Rais anapangiwa na mtu kuwateuwa Wasanii kama huyu? Hii nchi tunako kwenda kubaya sana nchi haina Umeme wa kutosha nchi haina Maji safi eti kutakuwapo na maendeleo? tunaongozwa na Viongozi wetu kama vile sisi ni wanyama wao.Wanatuongoza vile wanavyotaka wao wenyewe .Ewe Mwenyeezi Mungu tuokoe na haya matatizo amin.

Tutakukumbuka Baba siku zote Ulale salama.
 
R.i.p Magufuli washenzi kama hawa , wanatakiwa kesho yake waachie ngazi.pumvavu.
Makonda tunakuitaji sana ,kaza utunyooshee hawa wajinga wajinga
 
Back
Top Bottom