Mvutano mkali kati ya Trump na Zelensky watokea katika Ikulu ya White House

Trump alifikiri anaongea na yale mapopoma yaliyojaa afrika. Sasa kakutana na kusiki cha mpingo kashindwa kuamini kilichotokea
Amrjuta kuweka wazi maongezi maana dogo hakusita kuagiza gari lije kumschykua
Trump n nzuri shida take anataka kukulia juu na shida zakooooooooo
.dogo ana helà mbaya yule HATA aondokee kesho Ukraine

Ukisikia SIASA HAZINA adabu utasikia dogo amealikwa china wikii ijayo ametia Saini madini taende
 
This is how Donald Trump concluded:

“We had a very meaningful meeting in the White House today.
"Much was learned that could never be understood without conversation under such fire and pressure.

"It’s amazing what comes out through emotion, and I have determined that President Zelensky is not ready for Peace if America is involved, because he feels our involvement gives him a big advantage in negotiations.

"I don’t want advantage, I want PEACE.
"He disrespected the United States of America in its cherished Oval Office.

"He can come back when he is ready for Peace.”
 
Ukisoma kitabu cha Trump the art of the deal utamuelewa sana. na Trump anachafua maji ili samaki wapande juu wenyewe...lengo lake ale kotekote hata kama alikuwa na makubaliano na Zalensky hawezi kuyaweka waz na lazima ataficha au kutengeneza drama ili Putin akubali deal nzuri kabla US hawajarudi tena mezani na Zalensky, yote ya yote US iko pazuri maana Russia inataka vita viishe, Ukraine inataka vita iishe...
 
Sasa ndiyo aamue: Imma nchi ichukuliwe na Russia au akubali dili na Marekani?
ishindwe mara ngapi kuichukua? kama Trump kinamuuma ana hiyari pia ya kuacha kutoa silaha vilevile maana hajalazimishwa kuitoa.
 
Wanamdanganya kuwa ataishinda Urusi kwenye vita
 
Bora dogo aside na china ila siyo hii US ya Trump. Nimependa zele alivyokataa kudhalilishwa mtu 2 zimechemsha kwa dogo Zele.
Trump alifikiri angepata kitonga ila kala za uso tena live bila chenga.
 
Trump hacheki na wowote. Trump ni mfanyabiashara, anawaza hela ambayo usa imewapa Ukraine kama $350B. Wakati ndani USA kuna shida nyingi.



Pia kuna tetesi huyo dogo zele anapiga hela kwenye silaha pamoja na washikaji wake. Hii vita wanatumia kulamba asali. Kwa hiyo hapo alikuwa anaona kama trump anamharibia mrija wa kulamba asali
 
Leo umeipenda Marekani. Interesting.

Oh, just remembered. Now that Trump and Putin are buddies, nothing else matters. To hell with conspiracies!
 
Aliyajua yote hayo ila upumbavu wake ndio umempeleka US
Trump alijua anaenda kumuadhibu vikali
Akamdanganya kwa kuwa anajua zele anapenda hela na kumwambia njoo tusaini mikataba
Mkuu maandishi yangu ni kejeli kwake.

Aliitwa Dictator, hapo kama ana akili ilikuwa abaki kwake tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…