Mvutano: Ni kwanini Mungu alimruhusu mwanaume kuweza kuwa na mke zaidi ya moja kwenye biblia lakini makanisa yamekataza?

Mvutano: Ni kwanini Mungu alimruhusu mwanaume kuweza kuwa na mke zaidi ya moja kwenye biblia lakini makanisa yamekataza?

Hata kama Mungu anaruhusu nani angethubutu kuongeza mke?

Life bongo lilivyo tight na nataka wanangu wapate elimu bora na lishe bora kuongeza mke ni kuongeza majukumu mwisho kuwa na kizazi kisichoelimika na kilichodumaa.
 
"
Lakini kwa sababu ya zinaa ni vyema kuoa kuliko kuzini...... "

Kuzini ni dhambi ambayo inafanywa na wengi sana akiwemo mitume na manabii.

Kuoa mke zaidi ya mmoja sio dhambi, hao kina mtume Paulo na team yake wakikutana na migogoro mingi ya ndoa za mitaala, hivyo wakaamua kuzuia hizo ndoa ili kuepusha migogoro, kwa kufuata utaratibu wa mtume Paulo na team yake ya wapindua ulimwengu, kuoa mke zaidi ya mmoja ni kosa (hasa kwa viongozi wa kanisa).

Kwa kufuata mpango wa Mungu kuoa mke zaidi ya mmoja sio kosa, na kama lingelikuwa kosa angeweka sheria ya kutoa mke zaidi ya mmoja.
Wapi akina Paulo na Petro wamezuia kuoa mke zaidi ya mmoja?
 
Hata kama Mungu anaruhusu nani angethubutu kuongeza mke?

Life bongo lilivyo tight na nataka wanangu wapate elimu bora kuongeza mke ni kuongeza majukumu mwisho kuwa na kizazi kisichoelimika.
Na chenye migogoro. Hao wenyewe wanao oa mke zaidi ya mmoja bila uchawi au kuwaloga kama wanavyofundishwa na mashehe wao wa BAKWATA hawawezi kuwatuliza wala na hao wake kukubali kuolewa uke wenza.
 
nilishajiambia nikiwa na pesa na afya (maana hivi vyote ni msingi muhimu kuelekea kuoa wake wengi) ni lazima nioe wake wawili. sijui ndugu watanionaje na usharika to hell
 
Hakuna sehemu yoyote ambayo Mungu alikataza hata manabii ama wafame waliomtumikia kuoa mke zaidi ya moja, ukimya wake katika jambo hili ni sawa na sisi wazazi tunapoona mtoto anafanya mambo kwa usahihi tunakuwa hatuna haja ya kumwambia anakosea.

Ni kweli kwamba mwanaume akiondoka kwao yapendeza aende kuanza maisha na mke wake kupata uzoefu wa ndoa lakini baada ya hapo anaweza kuongeza mwengine ndio maana hata manabii waliomtumikia Mungu waliweza kuongeza.

Hata Yesu alijua uwepo wa hizi ndoa ndio maana alitumia mfano wa mabikra kumi (10) kuolewa na mwanaume moja na hakukuwa na chukizo ama katazo lolote kwa mwanaume kufanya hivi.

Kuna wanaume walioa mke moja haikuwa tatizo na kuna wengine walioa zaidi ya mke moja wala haikuwa tatizo kwa Mungu kuonyesha makasiriko, kuonyesha masikitiko, kuonyesha kutopendezwa ama kusema ni dhambi, Yena ni watu hawa hawa wakiwamo manabii na wafalme walifanya kazi yake lakini hakuwahi kuwaambia kwamba kuna kosa katika maamuzi yao ya kuwa na zaidi ya mke moja,
ilikuwa ni kwasababu ya ugumu wa mioyo yao tu, kikawaida mwanaume mmoja hana hata uwezo wa kuwaridhisha wanawake wawili, ila mwanamke mmoja anao uwezo kuwaridhisha wanaume wawili. na zaidi ya hapom mwanamke mmoja anao uwezo kulala hata na wanaume 4 hadi 5 kwa siku, wakati mwanaume mmoja hana uwezo kulala na kuwaridhisha wanawake wawili au watatu. chukua mfano, bao moja linaenda 30 minutes, unaweza kupiga mwanamke mmoja bao 3? na mwingine 3? jumla kwa siku upige 6? never, ila mwanamke mmoja kwa wakati mmoja anaweza kufika mishindo hadi 8 kwa wakati mmoja. msidanganyane.
 
nilishajiambia nikiwa na pesa na afya (maana hivi vyote ni msingi muhimu kuelekea kuoa wake wengi) ni lazima nioe wake wawili. sijui ndugu watanionaje na usharika to hell
Zinaa na tamaa ya ngono ndio inakudanganya hivyo. Nyie maskini ndio mnawaza ngono kila saa na kumbe huna pesa ndio maana unawaza hivyo.

Sisi wenye pesa hatuwazi kuoa wake wengi, tunawaza kuendelea kutengeneza mifereji ya pesa ili zizidi kuwa nyingi. We Billgate pamoja na yule Msouth mwenye starlink pamoja na utajiri wao, wameshindwa kuishi na mwanamke mmoja ila kapuku mmoja anayejikusanya anawaza kuwa na wake 4.
 
tangu mwanzo Mungu aliona si vyema adam akae peke yake,kutoka katika ubavu wake akampatia adam mtu mke,naye akamwita eva.

hapa ndipo tunapata malengo na mapenzi ya Mungu juu ya watu wake.

ndio sababu hata ktk mapenzi ni mwanamke mmoja tu huwa anafanikiwa kutuvuruga.
Mkuu suala la Adam na Eva ni uumbaji sio kuoa, hata teta aliumbiwa moja na aliingia moja kwenye safina ya nuhu, haina maana kwamba jogoo awe na tetea moja

UUMBAJI SIO NDOA
 
ilikuwa ni kwasababu ya ugumu wa mioyo yao tu, kikawaida mwanaume mmoja hana hata uwezo wa kuwaridhisha wanawake wawili, ila mwanamke mmoja anao uwezo kuwaridhisha wanaume wawili. na zaidi ya hapom mwanamke mmoja anao uwezo kulala hata na wanaume 4 hadi 5 kwa siku, wakati mwanaume mmoja hana uwezo kulala na kuwaridhisha wanawake wawili au watatu. chukua mfano, bao moja linaenda 30 minutes, unaweza kupiga mwanamke mmoja bao 3? na mwingine 3? jumla kwa siku upige 6? never, ila mwanamke mmoja kwa wakati mmoja anaweza kufika mishindo hadi 8 kwa wakati mmoja. msidanganyane.
Huu ndio uzoefu wako mfalme Sulemani maana wewe ulikuwa nao 1000. Uliwezaje wewe?
 
Unaombwa sheria unaleta hadithi.
Nabii gani alioa Wake wengi zaidi ya Yakobo tena kwa kuingizwa mkenge na mjomba wake?
SHERIA YA MKE MMOJA ILIASISIWA NA WARUMI KWA MAKUSUDI YAO ILA KUOA WAKE WENGI SIO TATIZO ILA KUMILIKI WAKE ZAIDI YA MMOJA NI VERY DIFFICULT HASA KWA SHERIA ZA KIMAGHARIBI ILA KWA WAYAHUDI NA WAARABU NI JAMBO JEPESI
 
Manabii na wafalme kibao waliomtumikia Mungu walikuwa na wake zaidi ya Moja na Mungu hakuoneshwa kuchukizwa wala kuwakataza, kwa lugha nyepesi ni kwamba hakuona tatizo lolote na wala hakukuwa na dhambi

Ukimya wa Mungu kuhusu hili ni kwamba alipitisha wala hakuona shida
... umekazania manabii; manabi! Wafalme; wafalme! Wewe ni mmoja katika hao? Bwana Yesu Kristo alikuja kuweka sawa suala la wake wengi. Kwa makusudi umekwepa ku-quote hicho kifungu kwenye wasilisho lako.
 
Yesu alijua uwepo wa hizi ndoa na wala hakuwa na shida ndazo, hata katika mafundisho yake alitolea mfano wa mabikra kumi kuolewa na mwanaume moja.

Ni ndoa ambazo alizikuta na hakuwahi kuzikemea
 
Huu ndio uzoefu wako mfalme Sulemani maana wewe ulikuwa nao 1000. Uliwezaje wewe?
mwaka una siku 365, mtu ana wake buku, mke ukilala naye leo asubiri miaka 3 ijayo, though enzi zile kuna watu waliitwa MATOWASHI (eunuchs), hawa ni wanaume waliokuwa wafanyakazi wa ikulu, sasa ili wasilale na wake za mfalme au na mabinti za mfalme wakaleta gundu, walikuwa wanahasiwa/castrate kabisa. kwahiyo kwenye himaya ya wake za suleiman 1000 wafanyakazi wanaume wooote waliokuwa wanawasogelea wake zake walikuwa wamehasiwa. mke alitakiwa kusubiri miaka hiyo mitatu na pengine angepata kabao kamoja tu manake jana yake kuna mwenzake naye alikuwa kwenye huduma. huduma through out miaka 3.
 
Tupe hiyo sheria ya kuoa Wake wengi Mkuu.

Mungu hajawahi kumpa Ruhusa Mwanaume kuoa wake wengi na hajawahi kumkataza.
Ni suala la Utashi tuu.

Nazungumzia Mungu wa kwenye biblia
Kama ni wa kwenye biblia ni wa mchongo maana Mungu hawezi kuwa binadamu maana biblia inamtambua yesu kama Mungu.
 
Zinaa na tamaa ya ngono ndio inakudanganya hivyo. Nyie maskini ndio mnawaza ngono kila saa na kumbe huna pesa ndio maana unawaza hivyo.

Sisi wenye pesa hatuwazi kuoa wake wengi, tunawaza kuendelea kutengeneza mifereji ya pesa ili zizidi kuwa nyingi. We Billgate pamoja na yule Msouth mwenye starlink pamoja na utajiri wao, wameshindwa kuishi na mwanamke mmoja ila kapuku mmoja anayejikusanya anawaza kuwa na wake 4.
sawa. sio kila mtu anataka kuwa Billgate we kilaza..sustainability is what am longed for. ngono ni part ya maisha. unaitaje zinaa kufanya tendo na wanawake nimewaoa? sioi kwa lengo la kuzaliana. mimi ni muumini wa idadi ndogo ya watu.sio kila mtu pesa nyingi ndio kipaumbele chake. nikikuuliza pesa nyingi ni kiasi gani una jibu?
 
Acha kujitetea we maskini na huna uwazalo zaidi ya ngono tu. Ndio mlivyo nyie maskini.
 
Back
Top Bottom