Al maktoum
JF-Expert Member
- Nov 23, 2022
- 499
- 678
Nadhani siyo kweli! Kuna wakili na wakala. Wakili lazima awe msomi wa sheria na mwenye leseni ya uwakili. Ndio maana akizingua Kuna mamlaka ambazo Zina uwezo wa kumfutia leseni ya uwakili akabaki ni wakili msomi kweli lakini hana uwezo wa kusimamia kesi yoyote.Wakili ni mwakilishi, kwa hiyo hata wewe unaweza kuwa wakili. Wakili msomi ni mwakilishi aliye na taaluma ya sheria na kibali cha kusimama mahakamani kwa niaba ya mtu au taasisi.
Bila shaka umeona tofauti!
Nimeuliza ili kutaka kujua?Huko kuchamba hadharani peke yake ni kosa hata bila kutumia picha ya rais itakuwaje uchambie picha ya rais hadharani na kurekodi video na kutuma mitandaoni! Nia yako ni kufikisha ujumbe gani kwa jamii inayoangalia video hiyo?!
Unasema kuchoma moto? Mwenzako alitaka kuua mwili kwa risasi kabisa siyo kuchoma picha tu.Nina picha za Lisu na Mbowe hapa ngoja nizichome moto😕😕😕😕
Huwezi kuwa wakili kumtetea mtu au taasisi yoyote ya kiserikali au binafsi kama si msomi wa sheria na mwenye leseni ya kufanya kazi za uwakili. Kwahiyo hakuna wakili ambaye sio msomi wa sheria. Bongo movie peke yake ndipo Kuna mawakili na mahakimu ambao sio wasomi.Wakili ni mwakilishi, kwa hiyo hata wewe unaweza kuwa wakili. Wakili msomi ni mwakilishi aliye na taaluma ya sheria na kibali cha kusimama mahakamani kwa niaba ya mtu au taasisi.
Bila shaka umeona tofauti!
Ukiambiwa wewe mjinga watakuwa wamekosea? Kwa hiyo kama picha yake kwa nini asizuie kuwekwa kila mahali hadi kwenye matundu ya vyoo,?Karatasi ni mali yake picha ni ya mheshimiwa kiongozi mkuu wa nchi.
Akifutiwa uwakili maana yake hana hadi ya usomi kwa hiyo hastahili kuendelea kusimamia kesi mahakamani! Mbumbumbu kama wewe ndiyo mtaendelea kumwita msomi lakini siyo wasomi wa sheria! Wao mawakili wasomi watamwita mwanasheria!Nadhani siyo kweli! Kuna wakili na wakala. Wakili lazima awe msomi wa sheria na mwenye leseni ya uwakili. Ndio maana akizingua Kuna mamlaka ambazo Zina uwezo wa kumfutia leseni ya uwakili akabaki ni wakili msomi kweli lakini hana uwezo wa kusimamia kesi yoyote.
Endeleeni kuwapotosha vijana kutoka familia maskini huku wa kwenu mkiwahimiza kuwa makini na kujiepusha na siasa za kipumbavu. Huwezi kukuta mtoto wa kiongozi wa ngazi za juu CHADEMA anafanya harakati za kipumbavu au kuropoka hovyo. Watoto wa maskini kama kina Mdude ndo hutolewa kafara ili kupata political mileage. Wewe mleta uzi nina uhakika huwezi ruhusu mwanao achukue picha ya Rais na kuichoma huku akirekodi video.
Tofautisha wakili msomi na mwanasheria! Unaweza kusoma sheria lakini usiwe wakili msomi?Huwezi kuwa wakili kumtetea mtu au taasisi yoyote ya kiserikali au binafsi kama si msomi wa sheria na mwenye leseni ya kufanya kazi za uwakili. Kwahiyo hakuna wakili ambaye sio msomi wa sheria. Bongo movie peke yake ndipo Kuna mawakili na mahakimu ambao sio wasomi.
Nilifikiri watatuwekea Mashushushi hadi kwenye Vyoo vyetu.Hakuna kosa pia
Lucas MwashambwaKuichambia je?
Picha ya kuchorwa yazua taharuki baada ya kuchomwa moto...
Choma tuNina picha za Lisu na Mbowe hapa ngoja nizichome moto😕😕😕😕
Ndio wasaidizi wa kisheria pale Halmashauri na Wilayani Ofisi za Mkoa hata kule LHRC mpaka Ustawi wa Jamii wengi hata Certificate ya Sheria hawana wameenda tu short course tu za Sheria kwa hio huwezi kuwaita wanasheria wasomi waleUnaweza kusoma sheria lakini usiwe wakili msomi?
Kama ni mtu wa kunielewa utakuwa umeshanielewa. Ila mama akili zako ulimkabidhi Mbowe hutakaa unieleweHujapangua hoja ya mleta mada hata kidogo. Mleta mada anasema kuchoma picha yenye sura ya rais (lkn siyo mali ya rais), hakuna kosa kisheria. Wewe chawa wa rais unasemaje??
Nimeandika comment kutokana na huu uzi wa Housegirl wa Mbowe anayetaka kuonyesha ni sawa tu kuchoma picha ya Rais na kujirekodi video huku ukitoa kauli za kijinga.Lakini huyo kijana aliyechoma picha hakutumwa na mzazi wake, aliamua mwenyewe akiwa na akili timamu
Hutakaa uelewe.Wewe mbona unakurupuka hapa ni mtoto wa maskini? Au kwa kuwa uko upande wao ndio unajiona uko sahihi