Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 6,450
- 17,648
Watanzania wepesi sana na wagumu Sana kusoma mambo.
Wazee hapo mnatengenezewa sinema tu kama Ile ya fake candidate halafu mkajaa, mkawekewa VP kwa ajili ya monitoring na backup incase main mission failed.
Plan yao A ikafail wakaenda kwenye plan B ambayo was risk and shocking but done.
Makundi ya wahuni huwa yanaajiri watu wenye akili sana kwa ajili ya kuwafanyia mambo yao, lakini pia hufanya vetting na viapo vikali sana ili kusiwepo usaliti.
Hizi gang ni Serikali zilizotimia kwa ajili ya kuexist kwa miaka miingi, vizazi na vizazi, kila mwenye akili kwenye makundi yao ni asset for their existence.
Bahati mbaya ni ngumu kujua nani ni member na nani sio member, kuwekwa pembeni kwa JM ni plan yao ya 2030 maana hayupo tena kwenye mipango yao ya Urais.
JM alipaswa kuwa Rais 2025 kama plan A yao ingework vizuri, kwa bahati mbaya Plan A haikufanya kazi wakaexcute plan B, kwenye plan B, 2030 tunarudi mitaa ya katikati ya nchi kwa msingida.
Member signs for the agreements and take an oath to take any responsibilities for the project execution.
ndani ya mitaa ya Kabul - Afghanistan.