Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

ea Hamna lolote, mambo mengi anaamliwa na Kikwete ndio maana team Kikwete kwenye kugombea viti vya ubunge majina yao yameenda hatua ya pili,
William Ngereja, Sospeter Muhogo, Maige, Marry Nangu, Kangi Lugola, Aggrey Mwanri nk nk
Kikwete hana nguvu tena za kisiasa huko serikalini. Hao wote walishajifia kisiasa wamefanya kuibuliwa lakini hawana ushawishi serikalini.
 
Usilishwe matango pori kirahisi tu. JK muda huu hana sauti ya ziada huko serikalini.

Chama cha siasa kikongwe ni lazima kiheshimu wazee na meza kuu ni maalum kwa ajili ya hao wazee. Mwinyi na Mkapa wangekuwa hai muda huu wangekaa pale kwenye meza kuu..
Unahangaika sana, kila mjadala wa Kikwete umo.

Pumzika braza, utachoka sana.
 
Kangi Lugola ni team Magufuli

Mwanri hayupo kwenye siasa za makundi.

Ngeleja ndio team JK tena wa zamani. Kundi la mtandao limepoteza nguvu za miaka ile.
Mmmmmh, wapo wengi tu nimewasahau, Raphael Chengeni, hii inathibitisha ana maamuzi kwenye Mihimili yote hadi huo wa uraisi wa mwanafunzi wake
 
Mmmmmh, wapo wengi tu nimewasahau, Raphael Chengeni, hii inathibitisha ana maamuzi kwenye Mihimili yote hadi huo wa uraisi wa mwanafunzi wake
Anasingiziwa kwa sababu ya uoga na chuki zetu. Mungu kampa uhai mrefu vijana wanazaliwa wanamkuta akiendelea kuwa mshauri wa Samia.

Anaheshimika kwa nafasi yake ya rais mstaafu lakini hana ushawishi katika maamuzi yanayogusa hatima za watanzania.
 
Ndio tusema sababu za kukatwa mapema?
Kweli kuna ubabe huko
Mtauwana kisa vyeo ambavyo hata hamjui kama mtafika wazima
 
Je kutokana na Team Msoga pamoja na kizimkazi kuwa kina kirefu watu wa EN wamejipa kiasi gani kumlinda kwa maeneo yote?
Maana yeye si sehemu ya hizi team hizi mbili na bila shaka wanatamani hata nafasi ya EN iwe chini yao
Sijajua EN atajilindaje na kudumu hadi 2030
 
Back
Top Bottom