Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

Mungu wangu wa mbinguni aliye hai amenivia unabii kuwa ccm itaacha vilio na ukiwa kwa wafuasi wake siku siyo nyingi. Na kila mwanaccm atakayejaribu kuzuia unabii huu kutimia, atakufa.
Team ipi itakuwa na kilio sana?
Je wazalendo, au Msoga & kizimkazi?
 
Kivipi?
Pale Kawe The number one inasemwa, alitoa utambulisho kuwa, " huyu ndiye boss wangu"
Je maana yake nini anaposema boss wake?
Heshima ya umri na ukweli kwamba JK alimleta kutoka Visiwani kuja huku bara.

Samia anafanya makubwa bila ya kumtegemea Kikwete kwa lolote.

DP World aliipigania yeye na wasaidizi wake, mpaka muda huu imesimama na inaleta faida.

Mradi wa LNG anaupigania muda huu akisaidiana na wanasheria wabobezi na wataufanikisha vyema.

Samia anaweza sana kujisimamia kuliko ambavyo watu wanaomhisia kuwa ni dhaifu.
 
Thibitisha!!!!
 
Wakati wa hoja za Dp World, Uliwahi kumsikia Kikwete kusema chochote?
 
Twatamani iwe hivyo, lakini Rais wa 2025 -2030 tayari kapatikana tangu 19-01-2025,
Bado kuapishwa tu October - November,
Unadhani Kikwete atakubali kubadilsha maamuzi yake na genge lake?
Usilishwe matango pori kirahisi tu. JK muda huu hana sauti ya ziada huko serikalini.

Chama cha siasa kikongwe ni lazima kiheshimu wazee na meza kuu ni maalum kwa ajili ya hao wazee. Mwinyi na Mkapa wangekuwa hai muda huu wangekaa pale kwenye meza kuu..
 
Ndio maana nakwambia JK hana ushawishi tena serikalini. Kila kitu alifanya Samia na wasaidizi wake.
Hamna lolote, mambo mengi anaamliwa na Kikwete ndio maana team Kikwete kwenye kugombea viti vya ubunge majina yao yameenda hatua ya pili,
William Ngereja, Sospeter Muhogo, Maige, Marry Nangu, Kangi Lugola, Aggrey Mwanri nk nk
 
Back
Top Bottom