Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 11,866
- 4,264
Wakitaka mambo yaende vizuri basi hii 2025 aanze en na mihula yake 2 kisha jm 1 na rk 1. Hii ni kwa mujibu wa itifaki ya kijamhuri
Nchi itakuwa na Waturuki kila sehemu kuliko wa sasaHM- from z to tz 2030
MhhhhhhhhWakitaka mambo yaende vizuri basi hii 2025 aanze en na mihula yake 2 kisha jm 1 na rk 1. Hii ni kwa mujibu wa itifaki ya kijamhuri
Kama wanawekeza kuna shida gani?Nchi itakuwa na Waturuki kila sehemu kuliko wa sasa
Ni busara kuwa na uwianoKama wanawekeza kuna shida gani?
Wawekeze wapiNi busara kuwa na uwiano
NO REFORMS, NO ELECTION.Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Hii slogan italipa kweliNO REFORMS, NO ELECTION.
Code kitu gani bana?Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Hili ni la kweli. Mheshimiwa wa awamu ya 4 anataka mwanae awe presdaa.Code kitu gani bana?
Wakati hata jina lako umeficha?
Anyway, vijana mnapenda sana kuleta story za kahawa kwenye hili jukwaa
Poleni ajenda hizo hakuna itakayofanikiwa ht moja km Mungu aishivyoAgenda ya Taifa 2030-2040 ni SG wa chama tawala wa sasa, 2040-2050 asante mbeya kwa kujiandaa vyema, ni mwanamke tena 🐒
Yes Tena huko ndani kwao kabla ya njeHii slogan italipa kweli