sasa kama mtu anaweza kuuza kila kitu ch Tanganyika na nyie kazi yenu ni kulinda mipaka ya atanganyika.....tusemeje?Hili swali nimejiuliza mara nyingi sana, hawa mabakamabaka mbona siku hizi ni mdebwedo namna hii? Ndio maana wakipita Rwanda wanavuliwa nguo kupekuliwa na kina badhite wanawapa mafagio kuzibua vyoo mitaani eti ni uzalendo! Bangladeshi!