Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.

Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.

Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.

Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Huu upumbavu utakomeshwa na "no reforms no election". Ndiyo maana Kikwete anatetea upumbavu huu eti reforms zilishafanyika!
 
Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.

Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.

Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.

Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.


JK = Julius Kambarage
YM = Yahya Mzee
EN = Edward Ndugai
RK = Richard Kaliua
JM = Joseph Michael


Nimepatia
 
JK = Julius Kambarage
YM = Yahya Mzee
EN = Edward Ndugai
RK = Richard Kaliua
JM = Joseph Michael


Nimepatia
YM= YUSUPH MAKAMBA
JM= JANUARY MAKAMBA
JK= JAKAYA KIKWETE
RK= RIDHIWAN KIKWETE

MSITUCHOSHE NA VICODE VYENU 😹
 
wameshajimilikisha nchi kuwa Tanganyika ni mali ya familia zao! sas wanagombani aanze nani kutawala wajinga wa Tanganyika. Jeiwii mnafanya nini?
Hili swali nimejiuliza mara nyingi sana, hawa mabakamabaka mbona siku hizi ni mdebwedo namna hii? Ndio maana wakipita Rwanda wanavuliwa nguo kupekuliwa na kina badhite wanawapa mafagio kuzibua vyoo mitaani eti ni uzalendo! Bangladeshi!
 
Back
Top Bottom