Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
- Thread starter
- #181
Kula 5Tuombe uhai tu
Kula 5Tuombe uhai tu
Leo hii mali zao zikitazamwa je zinaendana na nafasi zao? Au kwasababu hujawahi sikia shutuma dhidi yao ndyo unaona ni wasafi kiasi hicho?Simbachawene na Mkuchika usiwachafue kabisa
Yan Maccm shughuli ni kuwaza Urais tuFamilia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Sahau ujinga huo kutokea.Chini ya kapeti hayo yanafanywa kuwandaa watu hawa. Hutaki unaacha.
Hii comment huwa inanifariji sana!CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu
Hapo sina uhakikaLeo hii mali zao zikitazamwa je zinaendana na nafasi zao? Au kwasababu hujawahi sikia shutuma dhidi yao ndyo unaona ni wasafi kiasi hicho?
Hivi unawajua hao waswahili?Sahau ujinga huo kutokea.
Ondoa majina ya baba zao...bado watatajwa?I can guess these abbreviations refer to: Ridhiwani Kikwete(RM) na (JM) Januari Makamba are all rubbish! bila kupepesa macho wala mdomo na wapiga debe wao all are rubbish
Apate nani bibieNaombea wote wakose
JAL 1 is done 2 and 3 are next!!benard membe aliishia wapi kapotea
Kwahiyo wanagawana tu inchi yetu. Wanarithishana...Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Yaani mpaka kipindi hicho ccm watakua bado wanatawala??Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
If NRNE prevails, huo ujinga hautokuwa na nafasi tena, maana mamlaka yote itarejea kwa umma inakostahili kuwaMvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM
Ndio hao Sasa hataki code!Sijamaanisha hao. Acha kupayuka.
Akili imejaa kinyesi, huoni ht haya?Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Lioneni hili zombieKete mbili 6+4=10 zitaliwa kabla ya oktoba na kampuni haitakua ya ukoo au catels kama tunavyodhani sasa!!
Na kama watajwa wameanza huo ujinga,wataamsha hasira Kali sana ya the originals ambao wanataka kampuni isiwe na wenyewe!!
Kumbuka Kanda ya Victoria Wana hasira sana walipewa donge wakanyan'ganywa ghafla!