cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
😂😂😂😂MN mbona umemsahau maana mtoto anautaka kweli
😂😂😂😂MN mbona umemsahau maana mtoto anautaka kweli
Hapanaaa.HM- from z to tz 2030
..awe mama, bibi..hataongoza, mwaka huu mwisho..wanajifurahisha tu kudhani ataendelea na hao waliowatabiria..haitatokea!Mama 2025-2030 ni nani? Halafu unasema hujataja mtu?
Pale ccm like magufuli hamna tena kwa sasa!Mwezi July baada ya bunge kuvunjwa tutaona mengi. Na tunaweza kupata rais Mpya kabisa this year.
Let's continue praying. Mimi naanza na Novena na sala kama ilivyotangazwa na kabisa katoliki.
Tunataka Rais mwenye Maamuzi, uthubutu kama Magufuli ndo hii Tz itapiga hatua. Vinginevyo 2030 tutakuwa hapahapa
Umeshindwa kuelewa maana yangu, ni hivi: mleta mada amesema hajataja mtu, na huku amesema "Mama 2025-2030" ndio namuuliza huyo ni nani na wewe unasema hujataja mtu?..awe mama, bibi..hataongoza, mwaka huu mwisho..wanajifurahisha tu kudhani ataendelea na hao waliowatabiria..haitatokea!
RK ni presidential Material shida izi kete ujui mzee wake atacheza vipi lakini jamaa anafaa kabisa kuwa Mkuu wa Nchi
..content yote ni ujinga, awe ametaja majina au hajataja hakuna cha kujadili hapo.Umeshindwa kuelewa maana yangu, ni hivi: mleta mada amesema hajataja mtu, na huku amesema "Mama 2025-2030" ndio namuuliza huyo ni nani na wewe unasema hujataja mtu?
Uwe unasoma swali na kuelewa kabla hujajibu
Mbona kama unamuingilia uhuru wake?, nadhani wewe ndio ungeacha kufuatilia..content yote ni ujinga, awe ametaja majina au hajataja hakuna cha kujadili hapo.
Ameweka hapa ili tuseme juu ya alichoandika..km ni ujinga tumwambie.Mbona kama unamuingilia uhuru wake?, nadhani wewe ndio ungeacha kufuatilia
ni kujipanga tu gentleman 🐒EM # TAM patam hapo watu wanarithishana tu nchi kama vile Mwalimu alikuwa Babu yao
Ndo sababu yule Mwosha katoa jarida refu likimuonesha mmoja wa hao akimtambulisha mwanae kwa Mnene ilhali anajulikana sana katika duru za sasa. Yaelekea kampeni zimeanza kabla ya muda rasmi uliowekwa. Yule Pilato wa haya mambo anasemaje kuhusu hili?Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Bingwa wa kutype Duniani kote JEIWIII huwa haiingili siasa kama wewe umepiga nne huku unakula soseji huku unaandika USHUJAA(DEBEtupu).wameshajimilikisha nchi kuwa Tanganyika ni mali ya familia zao! sas wanagombani aanze nani kutawala wajinga wa Tanganyika. Jeiwii mnafanya nini?
Unaweza thibitisha aliiba nini?Kuhusu wizi wa JM?
Hakuna wizara isiyo na michongo ya pesa maana wizara zote zina Budget, ila inategemea na utashi wa waziri kuchekecha mafail.Hivi ile wizara ina michongo ya pesa ?
pumbavu wewe hapa unafanya nini, toka JF kwa vile wewe si bingwa wa ku type. Pumbavu kabisa naku block takatakaBingwa wa kutype Duniani kote JEIWIII huwa haiingili siasa kama wewe umepiga nne huku unakula soseji huku unaandika USHUJAA(DEBEtupu).
🚶🚶🚶
Bila mihemko na kirahisi sana Taifa letu litaongozwa na Rais mwanamke huko mbeleni baada ya Dr.EN kumaliza ngwe zake mbili za kikatiba huku akimuachia Dr.HM wa smz na Dr. TAM wakiendeleza gurudumu la mapambano ya maendeleo kwa waTanzania wote 🐒Kazi ya mbwa sio kufukuza mwizi. Kazi ya mbwa ni kumuamsha mwenye mbwa pindi kunapotokea hatari na kumuongoza kufuatilia nyayo. Tofauti ya mbwa na jogoo ni uwezo wa kunusa
Ni presidential materialHivi aliwahi kufanya lipi lenye alama?