Asante kwa majibu mazuri ndugu mbunge mtarajiwa wa Iringa mjini.Hakuna wizara isiyo na michongo ya pesa maana wizara zote zina Budget, ila inategemea na utashi wa waziri kuchekecha mafail.
Asante kwa majibu mazuri ndugu mbunge mtarajiwa wa Iringa mjini.Hakuna wizara isiyo na michongo ya pesa maana wizara zote zina Budget, ila inategemea na utashi wa waziri kuchekecha mafail.
Mkuu Unataka Msigwa aanzishe vita na mimiAsante kwa majibu mazuri ndugu mbunge mtarajiwa wa Iringa mjini.
Wapandikiza chuki breki zimekatikaFamilia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Msigwa anapewa kimkoa kimoja awe RC na kazi yake inaishia hapo.Mkuu Unataka Msigwa aanzishe vita na mimi
Huwenda ikawa hivyo, lakini mimi naamini bado anaitaka Iringa.Msigwa anapewa kimkoa kimoja awe RC na kazi yake inaishia hapo.
Yule mama kichwa kibovu , atakubali kuachia nafasi democratically ?Huwenda ikawa hivyo, lakini mimi naamini bado anaitaka Iringa.
Ulizaliwa Gest Gani wewe 🤣🤣😁Sasa ukiniblock Mimi inanihusu nini.pumbavu wewe hapa unafanya nini, toka JF kwa vile wewe si bingwa wa ku type. Pumbavu kabisa naku block takataka
Kafariki hakupoteabenard membe aliishia wapi kapotea
Ni kama kuiondoa chumvi baharini, inawezekana ila ni kazi sanaYaani bado mnawaza kutawaliwa na MA-CCM. Hivi hii akili au .....?
Acha hasiraZama za uchifu zilikwisha, kwanza ni vizuri akija mwanaume kijana wa kutokea kaskazini wa dini Ile hakika ni zamu yao Sasa, halafu ndo bado 2025 hivi tumekuwaje kujadili mambo ya mbele kama vile tuna mkataba wa kuishi na Allah SW, hao wote wawili tupa kule, wakaongoze familia zao
JG inasemwa yupo ubalozi wa marekani dar es salaam ndipo anahifadhiwa.Kete mbili 6+4=10 zitaliwa kabla ya oktoba na kampuni haitakua ya ukoo au catels kama tunavyodhani sasa!!
Na kama watajwa wameanza huo ujinga,wataamsha hasira Kali sana ya the originals ambao wanataka kampuni isiwe na wenyewe!!
Kumbuka Kanda ya Victoria Wana hasira sana walipewa donge wakanyan'ganywa ghafla!
Wazee wa kiswahili Huishi umri mrefuKati ya YM & JK kuna mmoja hatofika 2030 hapo ndipo ulipo mtihani, atakayewahi kuondoka ndio ataondoka na ndoto za mwanae. Mtaka nyIngi nasaba hupata mingi misiba
Hiyo ndo njia ya kulikomboa Taifa tuanze UpyaKiti kitamu sana kile mzee, We subiri Avushwe Kuanzia November ndio mtaanza Kuona NGOZI yake halisi tena usishangae akaanza Kuwawinda Mpotee kabisa na Upepo wote ubadilike, Halafu ili apate nafasi vizuri inabidi Mstaafu aliyegoma kustaafu astaafishwe tu
Chini ya kapeti hayo yanafanywa kuwandaa watu hawa. Hutaki unaacha.Ameweka hapa ili tuseme juu ya alichoandika..km ni ujinga tumwambie.
Simbachawene na Mkuchika usiwachafue kabisaUnaweza thibitisha aliiba nini?
Na je, ni nani aliye msafi katika serikali yetu hasa viongozi kama mawaziri?
Endelea kubishaHakuna hata mmoja atakayekuja kuwa raisi hapo mark this comment
Tuombe uhai tuEndelea kubisha
EN kaifanyia nini jamhuri tangu UVCCM hadi uwaziri?Ni presidential material