Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,848
- 7,762
- Thread starter
- #281
Ila daaaahhh kwenye siasa kuna umafia na hujuma sio poa kabisa.Yes Tena huko ndani kwao kabla ya nje
Ila daaaahhh kwenye siasa kuna umafia na hujuma sio poa kabisa.Yes Tena huko ndani kwao kabla ya nje
Husomeki mkuu....
Yes mtu haoni shida kukutoa roho kisa nafasi.ila this time hawataamini watakapoanaza kuangula mmoja baada ya mwingineIla daaaahhh kwenye siasa kuna umafia na hujuma sio poa kabisa.
Hawa waswahili hakuna awawezayeYes mtu haoni shida kukutoa roho kisa nafasi.ila this time hawataamini watakapoanaza kuangula mmoja baada ya mwingine
Hakuna namna Ridhiwani anaweza kuja kuwa Rais wa Tanzania. Mzee Kikwete hana tena ushawishi ndani ya awamu ya sita.Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Tusubiri tuoneHakuna namna Ridhiwani anaweza kuja kuwa Rais wa Tanzania. Mzee Kikwete hana tena ushawishi ndani ya awamu ya sita.
Samia anapambana kwa nguvu kubwa akiifanya michakato migumu yeye mwenyewe. Ule mradi wa DP World bandarini hauna mkono wa JK. Mradi wa LNG unaopambaniwa kwa sasa hauna kabisa uhusika wa Kikwete.
Kabakia kuhudhuria shughuli za kiserikali akiwa na kofia ya Rais Mstaafu pekee.
Rais ajaye Tanzania hatakuwa mkatoliki atatoka katika madhehebu mengine, kina Lutheran, Anglikana na Assembly Of God na madhehebu mengine ya aina hiyo. Makamu wake atatoka visiwani anaweza kuwa muislam.
Naona kama vile amekikaba na kukiteka chama wakati huu.Kikwete anahukumiwa kwa makosa yake ya muda mrefu uliopita, miaka ya nyuma.
Hayupo tena kwenye ushawishi wa juu ndani ya awamu ya sita.
Samia anashauriwa na anaruhusu ushauri lakini JK hana nguvu tena kwenye awamu hii.Naona kama vile amekikaba na kukiteka chama wakati huu.
Unataka kusema nani atatuletea mgombea 2030 kati yao wawili?Samia anashauriwa na anaruhusu ushauri lakini JK hana nguvu tena kwenye awamu hii.
Je kutokana na Team Msoga pamoja na kizimkazi kuwa kina kirefu watu wa EN wamejipa kiasi gani kumlinda kwa maeneo yote?Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Mgombea ataletwa na Samia na wasaidizi wake.Unataka kusema nani atatuletea mgombea 2030 kati yao wawili?
Yupu Mungu muweza wa yoteHawa waswahili hakuna awawezaye
2025 rais ni gwajima.Mgombea ataletwa na Samia na wasaidizi wake.
Hatakuwa mkatoliki safari hii.
Unaota mchana mkuu.2025 rais ni gwajima.
USinene ukamala.Unaota mchana mkuu.
Hana sifa ya kuongoza Tanzania, aendelee kuliongoza kanisa lake.USinene ukamala.
August hii itatupa jibu.
Kutunga jambo si sawa,mimi ninafahamu tena kwa undani kabisa,rizwani hatagombea uraisFamilia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Yawezekana kweli ukisemacho.Hana sifa ya kuongoza Tanzania, aendelee kuliongoza kanisa lake.