permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
RK awe Rais wa nchi ipi?Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
1. Jakaya Kikwete -JKFamilia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Ndiyo na mimi nashangaa mkuu.Hakuna namna familia ya JM inaweza kubishana na maamuzi ya JK.
🙏CCM itapata pigo kubwa sana mwaka huu, pigo moja tu, pigo lililonyooka, pigo takatifu
Ndiyo na mimi nashangaa mkuu.
Yaani haiingii akilini familia ya mstaafu wa ngazi ya juu kabisa nchini eti iwe na mvutano na familia ya mtu ambaye hana hata ushawishi katika majeshi.
Hahahahaha,jamaa anachekesha sana, watu wanafungua vi code vyake, anapanicUzi unauandika mwenyewe, halafu unauogopa!
Sasa unataka watu wajadili vifupisho?
Hivi aliwahi kufanya lipi lenye alama?EN aje hata sasa
Hivi hakuna mtu mkali na mzalendo wa kupigania maendeleo ya Watanzania ambayr ataboresha kidogo kutoka kwa Magufuli? Pamoja na mabaya yake, lakini Magufuli alijitahidi kidogo angalau wafanyakazi walifanya kazi kwa niaba ya Watanzania na wale wa kula kwa urefu wa kamba walipungua!Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.
Inadaiwa JK anataka RK aanze huku naye YM akitaka JM ndiye aanze.
Uzee unakuja kwa kasi kwa wote wawili RK na JM na hivyo kukimbizana na umri ndiyo chanzo cha mgogoro.
Hayo yanajiri huku EN ambaye atamsaidia Mama 2025 hadi 2030 akitazamwa kwa tahadhari kwani naye sio haba na ana wivu mno agunduapo kuna watu wanaingia 18 zake.
Yetu macho na la kutia moyo Mungu ndiye Mpanga wa Yote.
Sijataja jina la mtu hivyo mchukue tahadhari ktk hili. Niwaombe sana zungumzeni kwa Code.
Kumbuka JK muandaa RK ndiye huyohuyo aliyemzuia EL aliyejipanga kila sehemu. Je atashindwa kuipitisha ndoto ya RK?hakuna binadamu aliyewahi kujiandaa kwa uraisi nchini kama lowasa i mean, alifanya kila kitu sawa, alijipipanga kila mahali na hata akina rostamu alikuwa nao lkn mwisho wa siku haikuwa, angalia raila anafanya kila kitu sawa wakati mwingine hata anashinda labda kwa hesabu za kura lkn hawi raisi, hivyo haya mambo hayatabiriki kwani hata huyu wa sasa hatujui hata kama atatoboa uraisi mpaka 2030.
kama kuna chochote cha kujifunza, uraisi wa tanzagiza hautabiriki kabisa, sawa wamewatanguliza wastaafu lkn nani kasema na wao watakuwepo siku ya maamuzi ya nani awe raisi? …
6.MN.Mwigulu Nchemba1. Jakaya Kikwete -JK
2. Yusuph Makamba -YM
3. Ridhiwani Kikwete - RK
4. January Makamba - JM
5. Emanuel Nchimbi - EN
Kwani unhewaandika kungekuwa na ubaya?
Unazijua siasa? JM unaijua hamu yake ya kututawala?sio hilo tu, JK ni mentor wa JM amemlea mwenyewe na kumshape mwenyewe na hata kumuinstall kwenye harakati zake.
Hakuna siku wala sasa JM anaweza kunyanyua mdomo kwa JK, maana bila JK hakuna JM.
Unazijua siasa? JM unaijua hamu yake ya kututawala?
Hatatawala hata mmoja wao hapo.Familia mbili nchini zenye ushawishi ktk tasnia ya siasa, zaanza kuvutana.