Tetesi: Mvutano wafukuta kati ya JK na YM nani aanze urais kati ya RK na JM

I can guess these abbreviations refer to: Ridhiwani Kikwete(RM) na (JM) Januari Makamba are all rubbish! bila kupepesa macho wala mdomo na wapiga debe wao all are rubbish
Yaani ni takataka ambazo haziwezi kuwa recycled kivyovyote, hata kwa mbolea hazifai.
 
Acha uoga..
JK = Jamukaya Kibete
RK = Riziwanini Kibete
YM = Yosefukunyuku Makatani
JM = JaaNaHali Makatani
 
nimekaa pale na wacheka kwa kuwa hawawez kwanza sijui kama kuna utoboaji kuna mwisho wa nyakat je wao watapita kuna catastroph all of the wotld
 
Kumbuka JK muandaa RK ndiye huyohuyo aliyemzuia EL aliyejipanga kila sehemu. Je atashindwa kuipitisha ndoto ya RK?

ili kupitisha hiyo unayoiita ndoto si ni lazima awepo pia? isitoshe bila ya lowasa na kundi lake uraisi wa kuanzia 2005 labda hata asingeupata, nachotaka kusema hakuna marefu yasiyo na ncha, hatujui hali itakuwaje kwanza kama historia inatufundisha chochote huwa ana hulka ya kugombana na kila ambaye “anaelewana” naye hivyo kama huyu akiendelea kuanzia 2025 siajabu ugomvi na uadui mkubwa ukazuka pia baina yao ambao utabadilisha kila kitu.

walikuwa buddies na lowasa until they were not mpaka mliwaita boys2 men, na Magu mwanzoni marafiki pia, hivyo ukiangalia patterns unaona kwamba hana marafiki wa kudumu bali maslahi …
 
Hafai kabisa,,, hata huo uwaziri kapewa kwasababu ya mzee tu, lakini hana kaliba ya uongozi kabisa...

Afadhali JM kidogo ana taswira na uwezo wa kuongoza, hata JK mwenyewe anamjua JM vizuri.
Hivi ile wizara ina michongo ya pesa ?
 
Ushafikia level za kupangia wengine???
Disgusting
 
Kuna thread nyingine humu JF ni za kitoto hadi unajiuliza hivi ninafanya nini huku JF kama watu ninaochanganyikana nao ndio wa akili kama hizi
 
Kama ni shabaha wanasema umepiga wash out. Yaani bull hukuigusa.

YM na february walishafuta hiyo ndoto kabisa wakati religious knowledge haina uwezo wa ku convince raia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…