Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa akili zako kisoda, TLS inaweza kuipangia Gvt?Bado hamjasema[emoji23] na hapo ndio chuma kimegusa kidogo tuu
nikiandika hayo yote hamuwezi kusoma kwasabb ya uwezo mdogo wa kosoma na kuelewa mambo mengi kwa kina au kiundani , ndiyo maana nikasema kabisa wazi,Unapona sema Lissu na Fatma walivurunda bila ya kusema nani alifanya vizuri na wakati wa uongozi wake TLS ilikua bora sana, unafanya hoja yako kuwa ya kichawa ungetoa mfano wakati wa kiongozi huyu TLS ilifanya haya na haya kwa maslahi haya ya taifa hapo ungekuwa umemsaidia hata huyo kiongozi wa sasa ambae ndio unampa ushauri.
Jibuni hoia zake!!Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania.
Na kwahivyo basi,
Ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania.
Hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi.
Na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania.š
Mungu Ibariki Tanzania
Pumbafuuu Acha Kuwa BwegeSifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania.
Na kwahivyo basi,
Ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania.
Hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi.
Na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania.š
Mungu Ibariki Tanzania
Uharo ulio uandika nani ataelewamuerevu mbona huna wazo jipya wala fikra mbadala dhidi ya hoja ya msingi?
naona unaamsha mihemko na makasiriko tu š¤£
Lisu alikaa kwa muda gani hapogentleman,
nimeshauri tu kitaalamu namna abavyo boss mpya wa TLS anaweza kufanikisha kazi na majukumu mazito ya kitaifa ya TLS na kuepuka kuvurunda kama walivyovurunda Lisu na Fatma kwenye uongozi wao š
chuki binafsi na makasiriko yako mengine tafuta namna binafsi ya kudeal nayo plz š
Serikali huwa zinapita.Ata hii unayoipambania sasa kama chawa wake bado kitambo kidogo sana itaitwa serikali ya zamani.Weka maslahi ya nchi mbele na siku zote simama nawale wanaopigania Haki,wajibu na utawala bora ili ata vizazi vyako vije vinufaike.Ukiwa na akili zakichawa zisizo na manufaa mapana kwa wananchi wote lazima uone mwakubusi akosea ila ukiitoa akili za uchawa utamwelewa.akileta kiburi, jeuri na mapambano dhidi ya serikali badala ya kushauriana nayo namna bora ya kutetea haki na kufikia muafaka wa haki katika mambo mbalimbali yenye maslahi mapana ya waTanzania wote, anaweza kujikuta anaongoza miezi sita tu kipindi kilichobaki akiwa nje ya uongozi kwa labda kunyang'anywa sifa za uongozi kwasabb za kimaadili au utovu wa nidhamu
binafsi sijasema kuna mtu katoka nje ya mstari,
ni mapema mno...
nimetoa tu angalizo na ushauri wa kitaalamu kwa Boss mpya wa TLS kufanikiwa,
binafsi I want to see a very powerful TLS in Tz, I want to see vibrant TLS inTz, I want to see East African people talking about professionalism in TLS etc...
mengine yatakua hisia mseto tu za wanguwana š
Kabisaaaa wataingia kwenye mahandaki huu mwaka...Bado hamjasemaš na hapo ndio chuma kimegusa kidogo tuu
Ya Lisu na Fatma ilisubiriwa kwa hamu na gamu na ikaenda mikono mitu bila hata cha ku-uma š¤£
Kibaka atajibiwa kwa mujibu wa ukibaka wake! Iwe serikali au taasisi ya serikali. Tunaongozwa na Katiba na miongozo period!. Bandari kwishney! Mbuga zetu kwishney! Madini yetu kwishney! Bado figo zetu zinatafutiwa dalali halafu uko hapa nye nye nye busara hekiama my footSifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania.
Na kwahivyo basi,
Ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania.
Hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi.
Na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania.š
Mungu Ibariki Tanzania
Wewe msomi wa sheria nini maana ya harakati (activism)? Ni nani hafanyi harakati? Hata wewe hapo uko kiharakati unatafuta huruma ya SSH kwa kivuli cha "busara"Naunga mkono hoja
Niliuliza humu Hakuna Ubishi Mwabukusi ni Mwanaharakati, Je TLS Yake Iwe ya Kiharakati, Au Asilete Harakati Zake kwenye TLS Yetu, Ibaki Kuwa Profesheno Body?
- Tujikumbushe Kauli hii ya Rais Samia Atafanya Kazi na TLS ya Aina Gani? Hizi ni Salaam kwa Mwabu,. Swali ni is He A Bow Down Type or a Stand Firm?.
P
Nmepiga supu boss chai mbele kwa mbeleeeeš¶naambiwa hadi chai umeshindwa kabisa kunywa dah š¤£
una type unafuta, una type tena unafuta š¤£