Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

Mwabukusi asipotumia taaluma yake vyema, hekima na busara kuongoza TLS atavurunda zaidi ya ilivyokuwa kwa Tundu Lissu na Fatma Karume

Ni mpumbavu huyu jamaa anaandika uharo humu alafu anataka sapoti anahisi sote ni wajinga kama yeye
muerevu mbona huna wazo jipya wala fikra mbadala dhidi ya hoja ya msingi?

naona unaamsha mihemko na makasiriko tu 🤣
 
Haya tutambie Fatma na Lisu walivurunda vipi TLS kipindi cha uongozi wao?

Akirudi na majibu TWo lines yenye mantiki mniambie
 
Unapona sema Lissu na Fatma walivurunda bila ya kusema nani alifanya vizuri na wakati wa uongozi wake TLS ilikua bora sana, unafanya hoja yako kuwa ya kichawa ungetoa mfano wakati wa kiongozi huyu TLS ilifanya haya na haya kwa maslahi haya ya taifa hapo ungekuwa umemsaidia hata huyo kiongozi wa sasa ambae ndio unampa ushauri.
nikiandika hayo yote hamuwezi kusoma kwasabb ya uwezo mdogo wa kosoma na kuelewa mambo mengi kwa kina au kiundani , ndiyo maana nikasema kabisa wazi,

na hili ndio maana umeona tangu comment ya kwanza hakuna anaebisha kwa Lisu na Fatma walivyovurunda vibaya mno pale TLS wakati wa uongozi wao šŸ’

ni uchaguzi wa boss mpya sasa kuiga style ya Fatma, Lisu, Sungusia au Hossea kufanikisha kazi za TLS kwa ufanisi šŸ’
 
Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania.

Na kwahivyo basi,
Ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania.

Hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi.

Na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania.šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Jibuni hoia zake!!

Wasiojulikana wamejulikana!?waliotekwa wamepatikana!?

Mbona anahoji vitu logic kabisa na were kama mzalendo unaona Kuna shida gani akihoji kuhusu kupotea kwa watu!!?
CCM imekumbatia watu wanokinagusha chama chetu wasiojua kukisaidia chama zaidi ya uchawa!!!

Tutoe ufafanuzi wa hoja zake sio kumfanyia personal attack plus intimidation!
 
Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania.

Na kwahivyo basi,
Ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania.

Hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi.

Na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania.šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Pumbafuuu Acha Kuwa Bwege
 
gentleman,
nimeshauri tu kitaalamu namna abavyo boss mpya wa TLS anaweza kufanikisha kazi na majukumu mazito ya kitaifa ya TLS na kuepuka kuvurunda kama walivyovurunda Lisu na Fatma kwenye uongozi wao šŸ’

chuki binafsi na makasiriko yako mengine tafuta namna binafsi ya kudeal nayo plz šŸ’
Lisu alikaa kwa muda gani hapo
 
akileta kiburi, jeuri na mapambano dhidi ya serikali badala ya kushauriana nayo namna bora ya kutetea haki na kufikia muafaka wa haki katika mambo mbalimbali yenye maslahi mapana ya waTanzania wote, anaweza kujikuta anaongoza miezi sita tu kipindi kilichobaki akiwa nje ya uongozi kwa labda kunyang'anywa sifa za uongozi kwasabb za kimaadili au utovu wa nidhamu

binafsi sijasema kuna mtu katoka nje ya mstari,
ni mapema mno...

nimetoa tu angalizo na ushauri wa kitaalamu kwa Boss mpya wa TLS kufanikiwa,

binafsi I want to see a very powerful TLS in Tz, I want to see vibrant TLS inTz, I want to see East African people talking about professionalism in TLS etc...

mengine yatakua hisia mseto tu za wanguwana šŸ’
Serikali huwa zinapita.Ata hii unayoipambania sasa kama chawa wake bado kitambo kidogo sana itaitwa serikali ya zamani.Weka maslahi ya nchi mbele na siku zote simama nawale wanaopigania Haki,wajibu na utawala bora ili ata vizazi vyako vije vinufaike.Ukiwa na akili zakichawa zisizo na manufaa mapana kwa wananchi wote lazima uone mwakubusi akosea ila ukiitoa akili za uchawa utamwelewa.
 
Kuna mchangiaji anasema Keki inagawanywa kwa upendeleo inawezekana ni sawa kabisa je,tatizo limeanzia wapi?
Chama cha Wanasheria ni sawa na vyama vingine vya wafanyakazi? au wao wana majukumu zaidi ya kuwaunganisha na kuwatetea wanachama wao na wale wote wanaopata shida mbalimbali kwenye tasnia ya Sheria? au ni wanaharakati wanaoongeza idadi ya vyama vya kiharakati na kisiasa?
Kajhujhumele amejhujhumala maana speech ya mwisho skimping naibu Waziri aliwasilisha vizuri sana labda ni kwasababu anawashauri wasomi walimuelekeza nadhani hiyo ndiyo njia anatakiwa kuitumia kama Rais.
Tatizo ni kuweka bifu la waziwazi na Serikali jambo ambalo hata yeye akiwa Rais wa Nchi wapo watu hawataweza kukubaliana naye katika kadhaa maana yake ni kwamba huwezi kuwalidhisha watu wote kwa muda wote kinachotakiwa ni kuwa nadhamira ya dhati ya kuwaondolea wanachi kero zao tatizo siyo Serikali nzima tatizo lipo kwa baadhi ya watu waliomo ndani ya Serikali wenyedhamila mbaya dhidi yetu.Rais wa TLS wanainchi tunadhulumiwa na Sheria za nchi yetu,Haki inageuzwageuzwa kama wanavyotaka hao wanasheria wenzako,wanafunzi wanaotaka kuwa wanasheria wanakumbana na mambo mazito yaliyofumbwa kwenye hoja za kutengeneza kwakuwa wanatumia Sheria kuziba macho umma usijue kinachoendelea kwenye hicho chuo kinachoitwa shule ya vitendo.
Ubambikizaji kesi unazidi kuenea unaungana na jamii kuchukua Sheria mikononi kwa kisingizio cha Hasira kali! Leo vyombo vya habari vinaongoza kusingizia watu kesi na kuisikiliza na kutoa hukumu jukumu ambalo haliwahusu.Kesi nyingi zimeenezwa na vyombo vya habari lakini kesi zinapo kwenda mahakamani zinakosa ushahidi ingawa tayari zinakuwa zimeleta usumbufu na kuharibu haki za watu haya ndiyo ninatamani Rais wa TLS upambane nayo na hicho kitakuwa kipimo sahihi cha kuona uzalendo wako na kupata wafuasi wengi zaidi.
Lazima ieleweke kwamba kazi yenu kubwa ni kuisaidia Mahakama ili itende haki lakini pia kuwapa nafuu watuhumiwa iwe wamefanya au kinyume chake wahukumiwe kwa mujibu wa sheria.
 
Mleta hoja Naona upande wenu wa kishetani mmeanza kuumia kwa namna MWabukusi alivyoanza kutenda kazi za Mungu
 
Ya Lisu na Fatma ilisubiriwa kwa hamu na gamu na ikaenda mikono mitu bila hata cha ku-uma 🤣

Sasa Lissu mlimpiga risasi na Fatma mkamvua uanasheria na kupiga bomu ofisi yake halafu unaropoka tu unasema hakuna kilichotokea? Si mngewaacha bila kuwasumbua na kuwaletea makashikashi? Huyu Mwabukusi mtaisoma namba.
 
Bandiko lako limejaa uoga... Acha afanye kazi yake .... Haya haya ya kutotaka kuchukua hatua kiuongozi, alipokuja JPM akachukua hatua za ujenzi wa reli na miradi , wengine wakaona inawezekana.. Alitenda kwa nafasi yake na wengine wataongezea .. Hata Mwabukusi atatenda kwa wakati wake na wengine watafuata ... Kutumia kipimo cha Lisu au Fatma siyo kipimo sahihi.. Kipimo sahihi itakuwa matokeo ya kazi chanya atakayoiacha
 
Sifahamu kama kuna mtu anakumbuka au kufahamu kilifanyika wakati wa uongozi TLS chini ya Lissu na huyu mwanamama mwingine Fatma Karume, zaidi ya malumbano, mipasho na mambambano dhidi ya Serikali zilizokuako wakati huo, ambapo matokeo yake sasa, hapakuwezekana kufanyika chochote TLS kwa maslahi na manufaa mapana ya waTanzania.

Na kwahivyo basi,
Ni muhimu sana kwa Rais wa TLS wa sasa kutumia taaluma yake kuiongoza TLS, na kwa hekima na busara, kwa niaba ya waTanzania kutumia njia muafaka za kisheria kuwatetea waTanzania na kufikia hitimisho lenye manufaa kwa ustawi bora wa haki, uhuru na usawa miongoni mwa waTanzania.

Hakuna haja ya kutumia kiburi, majivuno, jeuri, huruma au hisia kwenye mambo muhimu tena ya kisheria kwenye vyombo vya kutolea haki, huko ni kufanya mzaha na harakati binafsi za siasa kwenye haki za wananchi.

Na kwa kufanya hivyo wengi watakosa haki zao za msingi na TLS inaweza kua sababu ya waTanzania wengi kupoteza haki zao, jambo ambalo ni aibu na fedheha kubwa sana kwa jumuiya na familia muhimu sana nzima ya wanasheria Tanzania.šŸ’

Mungu Ibariki Tanzania
Kibaka atajibiwa kwa mujibu wa ukibaka wake! Iwe serikali au taasisi ya serikali. Tunaongozwa na Katiba na miongozo period!. Bandari kwishney! Mbuga zetu kwishney! Madini yetu kwishney! Bado figo zetu zinatafutiwa dalali halafu uko hapa nye nye nye busara hekiama my foot
 
Tuachie mambo yako apa bwana mkubwa tupo bega kwa bega na mwamba ili taifa halitakiwi kuongozwa kwa misimamo ya watu au kikundi flani liongozwe kwa kufuata katiba na sheria na ndipo haki ilipo na mwamba anafanya ivo kwanini uje na andiko la kutaka aache kuifuata haki mzee [emoji15]
 
Wewe msomi wa sheria nini maana ya harakati (activism)? Ni nani hafanyi harakati? Hata wewe hapo uko kiharakati unatafuta huruma ya SSH kwa kivuli cha "busara"
Ni nini kinyume cha uanaharakati? passivity? passiveness!! Ndio mnaoshauri Tz tuendelee kujulikana kama "the most passive society in the world" Akaja nduguyo Magu akanja akaenda zake wote kimya! Amekuja bi kixzmkazi unataka iwe vile! GIVE US A BREAK bro!
 
Back
Top Bottom