Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

brazaj

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2016
Posts
31,698
Reaction score
41,733
Huu ni mrejesho wa yenye kujiri:

(a) Kuhusiana na ukimya Mwakaleli, Mbeya:

1. Kulipita tafrani hadi kuhitaji usaidizi tokea ofisi kubwa:

"Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama"

2. Heshima kwenu sana waheshimiwa Freeman Aikael Mbowe na Tundu Antipas Lissu.

3. Wajumbe Mbeya ni wanachama wa vyama hivi hivi, kulikoni mtafaruku majiani?

(b) Kuhusiana na maandamano ya amani 9/11:

1. Waratibu walikamatwa na polisi.

2. Lengo likiielezwa kuwa ni kuwajabidhi barua kusitishwa kwa maandamano haya.

3. Rufaa husika imekwisha wasilishwa kwa mujibu wa sheria.

4. Maandamano ni 9/11 kama yalivyopangwa.

5. Ikumbukwe:

a) Kuandamana ni haki ya wananchi kikatiba
b} Mamlaka ina wajibu wa kuiheshimu katiba
c) Mahakama ina wajibu wa kuhakikisha haki Ina tamalaki.
d) Wananchi tuna haki ya kuilinda katiba.

6. Historia itakuwapo kutuhukumu.

Aluta continua!

7. Hapa chini panajieleza:

F-AMZ_wXsAAg4ut.jpg

F-A4KSbWAAAYfoh.jpeg
 
Polisi kudai waliwakamata ili wawape barua, kwanini wasingetoa tangazo popote kwamba hao jamaa wanahitajika ofisini kwao ili wawape hiyo barua?

Polisi walichofanya ni usanii, wamewakamata kwa malengo tofauti na kile walichotangaza, huo ulikuwa mpango wao kujaribu kupunguza kasi ya hao jamaa, lengo likiwa washindwe kuufikishia umma ujumbe wao.

Bahati mbaya dunia ya sasa, mtu hata kama atajifungia chumbani, anaweza kupeleka ujumbe wake kwa umma, na kuwafikia kwa haraka, tena bila hata kuitisha mkutano na wanahabari.
 
1. Mahakama itaangalia haki ya kukamatwa kupewa barua imekaa je.

2. Mahakama itategemewa kuiona nia ovu ya polisi kupora haki ya wenye kutaka kwa amani.

3. Mahakama itategemewa kuwawejea polisi zuio, kutugusa.

4. Mahakama isipofanya hivyo, itakuwa ni haki ya wananchi kuilinda katiba.

Aluta continua!
 
Mwambuzi ni tofali la barafu, subiri joto lianze kama utaliona, hata wanaomzunguka, hawajui kama wamepangishwa nyumba iliyojengwa kwa tofali za barafu

Mwabukusi ni mratibu tu. Waandamanaji ni wananchi. Wewe kama haikuhusu makasiriko yote ya nini ndugu?
 
Watanzania hawajawahi kukubali wito kutoka kwa wahuni, mbowe na Lissu Wanachemka kutuandamanisha, sembuse huyo anayeteleza kwenye matope ya uyole
 
Una maana hawa?

Lissu: Watanzania si waoga, ila wenye kutunyooshea kidole

Kumbe lile jeshi hadi kuwakamata watu Ili kuwapa barua ma messenger wa kupeleka au matumizi yoyote ya "dispatch" hawana?

Kumbuka kuwatofautisha CCM
na vibaraka wao. Hao siyo watanzania pekee katika nchi hii.
 
Huu ni mrejesho wa yenye kujiri:

(a) Kuhusiana na ukimya Mwakaleli, Mbeya:

1. Kulipita tafrani hadi kuhitaji usaidizi tokea ofisi kubwa:

"Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama"

2. Heshima kwenu sana waheshimiwa Freeman Aikael Mbowe na Tundu Antipas Lissu.

3. Wajumbe Mbeya ni wanachama wa vyama hivi hivi, kulikoni mtafaruku majiani?

(b) Kuhusiana na maandamano ya amani 9/11:

1. Waratibu walikamatwa na polisi.

2. Lengo likiielezwa kuwa ni kuwajabidhi barua kusitishwa kwa maandamano haya.

3. Rufaa husika imekwisha wasilishwa kwa mujibu wa sheria.

4. Maandamano ni 9/11 kama yalivyopangwa.

5. Ikumbukwe:

a) Kuandamana ni haki ya wananchi kikatiba
b} Mamlaka ina wajibu wa kuiheshimu katiba
c) Mahakama ina wajibu wa kuhakikisha haki Ina tamalaki.
d) Wananchi tuna haki ya kuilinda katiba.

6. Historia itakuwapo kutuhukumu.

Aluta continua!

7. Hapa chini panajieleza:

View attachment 2803139

View attachment 2803140
Aluta continua
 
Back
Top Bottom