Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

Tunaomba aliyemuwekea lenzi mwambuzi aiondoe, maana inamkuza sura anajiona kama tembo
umenena mkuu, Mdude anasema OCD ni kajitu kadogo sana kwake, sijui hata km anaelewa kirefu cha OCD. Kiongozi wa wilaya ni mtu mdogo sana? Mama si aachie kidogo wanaume wafanye kazi tujue km hao watu ni wazima au wanaumwa.
 
Mwabukusi kama ni kisiki, wanakiita cha mpingo!
huyo mwenye mishono mwili mzima? ameshasahu alivyokuwa analia baada ya kukaa siku 5 tu selo. Ingekuwa km kina Lema waliokaa miezi km siyo miaka? Huyo wanamdekeza na amshukuru mama Samia
 
Huu ni mrejesho wa yenye kujiri:

(a) Kuhusiana na ukimya Mwakaleli, Mbeya:

1. Kulipita tafrani hadi kuhitaji usaidizi tokea ofisi kubwa:

"Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama"

2. Heshima kwenu sana waheshimiwa Freeman Aikael Mbowe na Tundu Antipas Lissu.

3. Wajumbe Mbeya ni wanachama wa vyama hivi hivi, kulikoni mtafaruku majiani?

(b) Kuhusiana na maandamano ya amani 9/11:

1. Waratibu walikamatwa na polisi.

2. Lengo likiielezwa kuwa ni kuwajabidhi barua kusitishwa kwa maandamano haya.

3. Rufaa husika imekwisha wasilishwa kwa mujibu wa sheria.

4. Maandamano ni 9/11 kama yalivyopangwa.

5. Ikumbukwe:

a) Kuandamana ni haki ya wananchi kikatiba
b} Mamlaka ina wajibu wa kuiheshimu katiba
c) Mahakama ina wajibu wa kuhakikisha haki Ina tamalaki.
d) Wananchi tuna haki ya kuilinda katiba.

6. Historia itakuwapo kutuhukumu.

Aluta continua!

7. Hapa chini panajieleza:

View attachment 2803139

View attachment 2803140
Leo ndo nimejiridhisha we mjinga ni Mwabukusi.
 
Shingo haipiti kichwa

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
Maandamano ni tarehe 9, iweje police waandamane tarehe 4?
 
Back
Top Bottom