Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

Muda wowote kuanzia sasa nitaweka hapa Ratiba na Ruti ya Maandamano halali ya amani , yaliyoandaliwa na Wazalendo kupinga Mkataba wa kudhalilisha Nchi wa Bandari za Tanganyika .

Tayari Polisi walishapelekewa Taarifa , kwa ajili ya kuimarisha ulinzi tu na si vinginevyo .

Usiondoke JF Kwa Taarifa za Uhakika
Hakuna kitu kama hicho
 
Mkifanikisha maandamano niko pale mje mniue! Mtapigwa mpaka mchakae jaribuni mje mwone!!
 
Muda wowote kuanzia sasa nitaweka hapa Ratiba na Ruti ya Maandamano halali ya amani , yaliyoandaliwa na Wazalendo kupinga Mkataba wa kudhalilisha Nchi wa Bandari za Tanganyika .

Tayari Polisi walishapelekewa Taarifa , kwa ajili ya kuimarisha ulinzi tu na si vinginevyo .

Usiondoke JF Kwa Taarifa za Uhakika
Wazalendo au wakosa kazi za kufanya
 
Asante tuko standby ila pia utuwekee na screenshot ya kibali vinginevyo nawashauri bila kibali Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!
P

Haya maandamano ni ya wananchi hata wewe unakaribisha:

F90vli0XkAAiik6.jpeg
 
Back
Top Bottom