Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

Mbona Slaa amenywea?
brazaj

Tuliopo tunatosha sana;

IMG_20220927_190940_421.jpg


Wakituuwa sisi Ili kina Lusungo wasisherehekee kuwa imekwisha, kina Slaa wataendeleza 10/11.

Kabla ya kina Lissu na waungwana wenye akili zao kukiendeleza baada ya kina Slaa.

Wewe utatokea batch ipi?
 
Tuliopo tunatosha sana;

View attachment 2804963

Wakituuwa sisi Ili kina Lusungo wasisherehekee kuwa imekwisha, kina Slaa wataendeleza 10/11.

Kabla ya kina Lissu na waungwana wenye akili zao kukiendeleza baada ya kina Slaa.

Wewe utatokea batch ipi?
Wanaotishwa ni wananchi waoga, Ili ikifika tarehe 9, Mdude na Mwambukusi wawe na watu Wachache.

Simba na Yanga wanaandamana na mabango ya kisiasa hawabughudiwi,

Kudai bandari zetu ndo iwe nongwa!!

Aluta continua.
 
Hawanazo magereza za kutuweka wote. Kwa kosa lipi?
Najiuliza kama ni Viongozi wa SAUTI YA WATANZANIA ndio wangetishia kumvunja Mguu OCD wa Mbeya sijui ingelikuwaje?

Natafakari tu🤔
 
Harakati za chama kipya mmefikia wapi?
Umma wa Watanganyika unajitosheleza,

Nani alikudanganya Ili kuikomboa nchi Hadi usajili chama?

Matching guys Wana chama Cha siasa?

Wakulima Wana chama Cha siasa?

Wafanyabiashara, wavuvi, nk nk nk vp?
 
Umma wa Watanganyika unajitosheleza,

Nani alikudanganya Ili kuikomboa nchi Hadi usajili chama?

Matching guys Wana chama Cha siasa?

Wakulima Wana chama Cha siasa?

Wafanyabiashara, wavuvi, nk nk nk vp?

Akikuelewa usiache kutuletea mrejesho. Tuko paleee..ee 👉!
 
Muda wowote kuanzia sasa nitaweka hapa Ratiba na Ruti ya Maandamano halali ya amani , yaliyoandaliwa na Wazalendo kupinga Mkataba wa kudhalilisha Nchi wa Bandari za Tanganyika .

Tayari Polisi walishapelekewa Taarifa , kwa ajili ya kuimarisha ulinzi tu na si vinginevyo .

Usiondoke JF Kwa Taarifa za Uhakika
 
Back
Top Bottom