Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

01-asian-giant-hornet-minden_00405319_square.jpg

"SUMU YA NYIGU"
 
Mapolisi hawajatoa sababu za MSINGI za kuyazuia Maandamano ya AMANI.
 
20231103_150225.jpg

"...OCD ni Mtu mdogo sana, huwezi kutuvunja Miguu..."

:Mdude Nyagali
 
mdudu na mwambulukusu wamechaguwa tarehe ya kumbukumbu cha kilio walicholizwa USA.
 
Sio jambo la Busara kuwatishia kuwavunja Miguu Watanzania wanaotaka kuandamana kwa Amani.

Hajui mabosi wake ni sisi. Tukisha kamata nchi. Chawa wote hawa itakuwa ni mwendo wa ku sukumia nani:

F-E7zsGWMAAWJpL.jpeg
 
Huu ni mrejesho wa yenye kujiri:

(a) Kuhusiana na ukimya Mwakaleli, Mbeya:

1. Kulipita tafrani hadi kuhitaji usaidizi tokea ofisi kubwa:

"Mbowe, Lissu chukueni hatua kurejesha nidhamu kwenye chama"

2. Heshima kwenu sana waheshimiwa Freeman Aikael Mbowe na Tundu Antipas Lissu.

3. Wajumbe Mbeya ni wanachama wa vyama hivi hivi, kulikoni mtafaruku majiani?

(b) Kuhusiana na maandamano ya amani 9/11:

1. Waratibu walikamatwa na polisi.

2. Lengo likiielezwa kuwa ni kuwajabidhi barua kusitishwa kwa maandamano haya.

3. Rufaa husika imekwisha wasilishwa kwa mujibu wa sheria.

4. Maandamano ni 9/11 kama yalivyopangwa.

5. Ikumbukwe:

a) Kuandamana ni haki ya wananchi kikatiba
b} Mamlaka ina wajibu wa kuiheshimu katiba
c) Mahakama ina wajibu wa kuhakikisha haki Ina tamalaki.
d) Wananchi tuna haki ya kuilinda katiba.

6. Historia itakuwapo kutuhukumu.

Aluta continua!

7. Hapa chini panajieleza:

View attachment 2803139

View attachment 2803140
Yaani walikamatwa ili wapewe barua?
 
Back
Top Bottom