Mwabukusi: Maandamano yapo 9/11 kama ilivyopangwa

Wakili "msomi" wa Tanzania ambae anajiita "mzalendo" haelewi tofauti ya "dharula" na dharura.

Ikiwa mtu kama huyo ndiyo tunamuona "msomi" wa maana, hana hata nidhamu ya lugha. Tuna safari ndefu sana ya kwenda.


Sema nawasifu mdudu na mwambulukusi kuona fursa ya kutengeneza za "wajinga ndiyo waliwao".
 
gtunamuona ndio nini? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Samahani lakini
 
Ukisikia serikali kutikisika ndo huku.

Jeshi la polisi limegeuzwa kuwa jumuiya ya CCM
 
Hao wengine ni kama punda bila viboko hawaendi
CHADEMA wamenyimwa vibali vya chopa, wanaoimba Badala ya kutumia gia kubwa.

Chama Cha upinzani bila amshaamsha na maandamano ni kujitakia kufifia mbele ya umma.
 
Asante tuko standby ila pia utuwekee na screenshot ya kibali vinginevyo nawashauri bila kibali Ushauri kwa CHADEMA: Japo ni Haki, lakini chondechonde Msiandamane. Mwenye Nguvu Mpishe!
P
Kiongozi ninakusihi na ninakushauri sana sana.

Haya maandamano hayana lengo baya kwa nchi bali CCM imeona itashinikizwa na wananchi iwajibike. Hivyo unapokuwa unasimama kidete kushinikiza watu wasidai jambo wanaloliona kwao ni haki, unakosea sana.

Ni jambo zuri kushauri lakini kushinikiza ushauri ni dalili ya kukwama kifikra
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…