Mwezio anasema eti lakiilikuwa matumizi ya wilaya nzima ya kinondoni, miaka hiyo ya 88 , sasa we unamuona huyu mzima kweli?
Kwa kuwa baba ake mhandisi alishindwa kuwapa good times wanawe basi anadhani kila mtu ipo hivyo
Ni mshamba mixer roho mbaya na wivu very deadly combination, .
huyu ukimsimulia khabari za kina Idd janguo na kufuru zake anaweza kwenda kulala kwa mganga wa kienyeji.
Matajiri wengi wakubwa Tanzania waliibuka kwa Mzee Mwinyi, wengine wakaja kupata pesa kwa kikwete utawala wa marais wengine pesa haikuepo, enzi za Mwinyi ndio watu walikula bata Mtu akitoa mzigo zanzibar akifika Dar anakuta watu hadi wazimbabwe wanasubiri, dili za magendo zikazaliwa kipindi hicho lakini utawala wa mwinyi ndio ulizaa hadi matapeli wakubwa hadi strong room na wazee wa bandari ilikua kwa mwinyi na mkapa kidogo,