Mchizi
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 2,886
- 7,000
Ndo maanake ilikuwa hapo mlalakuwa barabaraniIna maana eneo lote la ilipokuwa Silent inn lilimezwa na barabara?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndo maanake ilikuwa hapo mlalakuwa barabaraniIna maana eneo lote la ilipokuwa Silent inn lilimezwa na barabara?
Ina maana eneo lote la ilipokuwa Silent inn lilimezwa na barabara?
Kikao cha Baraza la Mawaziri la Daniel Arap Moi kiliahirishwa kwa kukosa akidi kwa sababu mawaziri walikuwa kwy show ya yule Mzaire Hatare sanaHata kanda bongoman Enzi za Mzee Mwinyi alikuja uwanja wa Taifa na kiingilio ilikuwa laki moja ...
Hapo alikuwa kashafukuzwa Kenya Kwa kuvunja ndoa za watu....alifukuzwa na Rais Moi...
Those were the golden days
Mkuu unataka kuniambia kuwa sijui tarehe na mwaka wa kuzaliwa?Ujue mwaka 1988 sio Juzi.
Nimekwambia nitajie wapi michael jackson alitumbuiza alipokuja hujajibu, badala yake unataka picha pesonal ,za watu wakitumia pesa zao , inakusaidia nini?Ndio maana nakuambia ushafeli mno check out Sana stare unaparamia Sana na Wala hukwenda popote wee na mdukuzi mliadidhiwa tu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hii sikumbuki ila nakumbuka alikwenda kilimanjaro hotel.Shoo yake Kilimanjaro Hotel, kiingilio kilikuwa laki 2 unusu...
Huo ndio ukweli kuwa wee Ni mfujaji
Uko sahihi Mkurugenzi.... Nakubaliana na wewe 100%....Masaa matano kuanzia saa sita usiku hadi saa kumi alfajiri inatosha kuzunguka maeneo yote ya jiji hadi unashangaa mbona karibu hivi dakika kumi unatoka mataa ubungo hadi mnazi mmoja, rahisi sana
Kikao cha Baraza la Mawaziri la Daniel Arap Moi kiliahirishwa kwa kukosa akidi kwa sababu mawaziri walikuwa kwy show ya yule Mzaire Hatare sana
laki moja ya 1994 ilikuwa nyingi sana lakini watu walimwagilia hadi firigisi
Umenifurahisha Sana Mkurugenzi... Hasa sentensi ya mwisho kuanzia hapo kwenye neno Africa...[emoji3][emoji3][emoji119][emoji119][emoji1666][emoji1666]Thanks na salute mkuu, kipindi nchi Ina heshima na adabu, tulikua hatuchezewi ovyo Tanzania, Africa nzima ilikuwa inasubiria tamko kutoka Dar es Salaam ndio na wao watoe tamko lao
pesa zangu mimi, nazitafuta kwa bidii yangu na nazifuja vile ninavyotaka halafu maumivu unapata wewe ambaye hunifahamu zaidi tu ya kuona ID yangu hapa JF.
wallah ukisikia mtoto wa kiume ana wivu wa kike ndio kama hivi unavyofanya wewe ndg.
nikuulize swali la kizushi kama wewe kweli mtoto wa mjini, Mgahawa wa chai wenye miaka mingi sana hapo dar unaujua ulipo na unaitwa jina gani na una miaka mingapi sasa?Nilidhani mi muhenga kumbe kuna wanaopaswa kupata shikamoo yangu humu😊
Yawezekana anamfananisha Mj wa USA na yule wa Ruaha Galaxy enzi zile teh tehNimekwambia nitajie wapi michael jackson alitumbuiza alipokuja hujajibu, badala yake unataka picha pesonal ,za watu wakitumia pesa zao , inakusaidia nini?
Unaona ulivyo mshamba!!! , halafu unajiita Dr !!!;
Nilikuwa mnazi wa east african bear/beer.Imepita miaka 35,
Nimekumbuka kitu kimoja
mwaka 1988 enzi hizo Ivon Chakachaka akiwa kwenye peak,kulikuwa na mmakonde mmoja akiitwa Dk Khalid Alex mbunge wa Mtama by then,sina uhakika na jimbo ila ni huko kusini
,alikuwa na ukumbi kule kibamba Luguruni maarufu kama Makondeko,
Ule ukumbi ukienda leo hakuna hata mabaki ya tofali hata moja ulikuwa ukumbi wa kisasa kwa miaka ile,kumbuka ulikuwa utawalawa Mzee Ruksa,
Chakachaka akiwika na nyimbo zake kama Sangoma,Umkhomboti,Thank you Mr Dj,am in love with DJ,alikuwa wa moto kwelikweli ila huyu tycoon wa enzi hizo bwana Alex akafanikiwa kumleta nchini,kiingilio kilikuwa shilingi laki moja,lakini ukumbi ulifurika aswaa japo uko nje ya mji,ni miaka 35 imepita ila laki moja !!!