Mwaka 1989 ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kutapeliwa jijini Dar es Salaam

Mwaka 1989 ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kutapeliwa jijini Dar es Salaam

Kuna senge liliniuzia sabuni badala ya simu... Ile 30 inaniuma sana...

Ilikuwa kabla Sam Nujoma haina double lane, Mlimani City ndo ilikuwa na miezi 2 toka funguliwa
Du pole sana mkuu kwa kutapeliwa kiwepesi namna hiyo. Ulikuwa na umri gani?
 
Mkuu utakuwa mdogo saana eeh...huyu jamaa ni 33+ 9 = akiwa na miaka mingi ni 42.

Nilikuwa nakuweka age group moja na niah na @mmandenyi
Daby upo? Sijakusoma siku nyingi na mimi nilijikata kidogo hasa nilipokuwa makao mazee.
 
Back
Top Bottom