Mwaka 1989 ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kutapeliwa jijini Dar es Salaam

Mwaka 1989 ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kutapeliwa jijini Dar es Salaam

Hii inaonesha watoto wa zamani uelewa wao uliku mdogo sana kuliko wa sasa
Sikubaliani na wewe. Mimi nimetapeliwa kwa sababu kwanza umri wang nilikuwa mdogo sana wa kuweza kupambanua mambo. Hebu soma vizur uzi wang utaelewa, lkn leo hii kuna vijana washavuka 20 bado wanatepeliwa kwa utapeli wa aina hii hii wa miaka ya 80.
Mwaka 2022 bado kuna watu wanatapeliwa kupitia sim mpaka jeshi la polisi linaungilia kati, wengine wanatapeliwa kwa kulishwa nywele na kuambiwa wamerogwa nk. Soma post ya #87 uone mtu alietapeliwa mwaka 2007 kwa utapeli huu huu niliotapeliwa mimi mwaka 89, afu unawezaje kusema eti wa sasa hawatapeliwi?
 
Back
Top Bottom