Mwaka 1989 ndio ilikuwa mara yangu ya kwanza kutapeliwa jijini Dar es Salaam

Mm pia niliwekewa simu ya sabuni Moshi mjini kipindi Cha 2007 HV washenzi San wale vijana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£ mkuu 2007 mbona wizi huo ulikuwa unajulikana sana Tz, au walikuotea tu bahati mbaya? Pole sana aisee.
 
Hii inaonesha watoto wa zamani uelewa wao uliku mdogo sana kuliko wa sasa
Sikubaliani na wewe. Mimi nimetapeliwa kwa sababu kwanza umri wang nilikuwa mdogo sana wa kuweza kupambanua mambo. Hebu soma vizur uzi wang utaelewa, lkn leo hii kuna vijana washavuka 20 bado wanatepeliwa kwa utapeli wa aina hii hii wa miaka ya 80.
Mwaka 2022 bado kuna watu wanatapeliwa kupitia sim mpaka jeshi la polisi linaungilia kati, wengine wanatapeliwa kwa kulishwa nywele na kuambiwa wamerogwa nk. Soma post ya #87 uone mtu alietapeliwa mwaka 2007 kwa utapeli huu huu niliotapeliwa mimi mwaka 89, afu unawezaje kusema eti wa sasa hawatapeliwi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…